Congo declares start of campaign against Rwandan Hutu rebels

mchambawima1

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
2,487
Reaction score
738
AC0B6829-9DE8-42BE-8E3E-E149F92B2136_cx0_cy10_cw0_mw1024_s_n_r1.jpg

Democratic Republic of Congo's army on Thursday declared the official start of operations against Rwandan Hutu rebels, but a senior army official said combat had not yet begun.

Army spokesman General Leon Kasonga said the start of a campaign against the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) was announced by the chief of staff of the Congolese army (FARDC), Didier Etumba, on a visit to the northeastern city of Beni.

The FDLR, whose estimated 1,400 fighters include ethnic Hutu soldiers who took part in Rwanda's 1994 genocide, have been at the heart of years of conflict in central Africa's Great Lakes region.

An attack on the group by the FARDC and the U.N. peacekeeping mission in Congo (MONUSCO) has been expected since the rebels missed a Jan. 2 deadline set by regional leaders to disarm.

Charles Bambara, spokesman for the U.N. peacekeeping mission in Congo (MONUSCO), said he considered Etumba's announcement a "green light" to begin operations.

A 3,000-strong U.N. intervention brigade recorded significant successes in 2013 when it helped Congolese forces defeat Tutsi-led M23 rebels who had seized swathes of North Kivu, with the support of Rwanda, according to U.N. experts.

The prospects of a quick operation against the FDLR are complicated by the rugged terrain the rebels occupy and their past history of striking civilians in revenge when attacked.

Source:
Reuters
 
Jamani wakati mwingine tuwe tunakubali ukweli!!! Haya yote yanatokea baada ya Msanii Mkuu JK kukutana jana na kubwa lao Francois Hollande ndani ya Paris.

Wenye akili tulianza kutabili, mimi binafsi nilijuwa kwa vyovyote Msanii anarudisha pesa za watu kutokana na kazi ngumu waliyompa.

Lakini kwa hili lazima msanii tumpongeze yani kumfanya Kabila awageuke FDLR wakati ni kama mtu na baba yake kweli jamaa kasomea usanii ila kama kawaida yake tusitabili sana maana nasikia huko bongo sifa yake kubwa eti ni kuwa hatabiliki, si ajabu pesa alizo rudisha zikamuuma tukamuona huyoo kabinuka tena.

Yani kutokuwa na msimmamo bwana kazi kweli.
 
kukutana kwao kunamahusiano yepi na hii habari.
 
sema ulichoelewa wewe, sio kuleta umbea huku, chekechea my foot.
 
UN forces have launched an
offensive against a Rwandan rebel
group in eastern Democratic
Republic of Congo in a new move to
end regional instability.
The FDLR was the next target following
the defeat of M23 rebels and a key
road had already been recaptured, the
UN's force commander Gen Carlos
Alberto dos Santos Cruz told the BBC.
Neighbouring Rwanda views the FDLR
as major threat to its stability.
The group is accused of involvement in
the 1994 genocide in Rwanda.
Some 800,000 people, mostly from the
Tutsi ethnic group, were killed in the
conflict.
'Spread out'
Rwanda invaded resource-rich eastern
DR Congo in 2003 under the pretext of
fighting the FDLR, which is made up of
the rival Hutu ethnic group.
The UN has more than 19,000 troops in
DR Congo, with an attack force given
the mandate of neutralising armed
groups.
Gen Dos Santos Cruz told the BBC that
200 UN troops and an attack helicopter
supported government troops in a two-
day operation against the FDLR.
There was hardly any fighting, as FDLR
fighters fled their positions, he said.
The government had regained control
of the road between the towns of
Kitchanga and Pinga, Gen Dos Santos
Cruz said.
"It was very important to open the way
to Pinga because for almost two years
the population was almost isolated
because of the presence of FDLR and
some more associated groups along
the road," he added.
UN officials estimate there are about
1,500 FDLR fighters spread out in small
groups across eastern DR Congo's
North and South Kivu provinces, an
area the size of England.
The group has not carried out any
major cross-border raid into Rwanda in
recent years, correspondents say.
The FDLR was formed by Hutu
militiamen who retreated to DR Congo
when the genocide ended with the
seizure of power by the Rwandan
Patriotic Front led by Paul Kagame, who
is now president.
Since 2011, Mr Kagame has repeatedly
been accused of backing the M23 to
counter the FDLR - an allegation he
denies.
UN and DR Congo government forces
defeated the M23 last month.
Most M23 fighters come from the same
Tutsi ethnic group as Mr Kagame.
DR Congo has been hit by more than
two decades of instability.
 
Mbona habari kama hizi hawazileti...te te te...
Kwa kuwa zinazungumza bila kumung'unya maneno eeehhhh

UN forces have launched an
offensive against a Rwandan rebel
group in eastern Democratic
Republic of Congo in a new move to
end regional instability.
The FDLR was the next target following
the defeat of M23 rebels and a key
road had already been recaptured, the
UN's force commander Gen Carlos
Alberto dos Santos Cruz told the BBC.
Neighbouring Rwanda views the FDLR
as major threat to its stability.
The group is accused of involvement in
the 1994 genocide in Rwanda.
Some 800,000 people, mostly from the
Tutsi ethnic group, were killed in the
conflict.
'Spread out'
Rwanda invaded resource-rich eastern
DR Congo in 2003 under the pretext of
fighting the FDLR, which is made up of
the rival Hutu ethnic group.
The UN has more than 19,000 troops in
DR Congo, with an attack force given
the mandate of neutralising armed
groups.
Gen Dos Santos Cruz told the BBC that
200 UN troops and an attack helicopter
supported government troops in a two-
day operation against the FDLR.
There was hardly any fighting, as FDLR
fighters fled their positions, he said.
The government had regained control
of the road between the towns of
Kitchanga and Pinga, Gen Dos Santos
Cruz said.
"It was very important to open the way
to Pinga because for almost two years
the population was almost isolated
because of the presence of FDLR and
some more associated groups along
the road," he added.
UN officials estimate there are about
1,500 FDLR fighters spread out in small
groups across eastern DR Congo's
North and South Kivu provinces, an
area the size of England.
The group has not carried out any
major cross-border raid into Rwanda in
recent years, correspondents say.
The FDLR was formed by Hutu
militiamen who retreated to DR Congo
when the genocide ended with the
seizure of power by the Rwandan
Patriotic Front led by Paul Kagame, who
is now president.
Since 2011, Mr Kagame has repeatedly
been accused of backing the M23 to
counter the FDLR - an allegation he
denies.
UN and DR Congo government forces
defeated the M23 last month.
Most M23 fighters come from the same
Tutsi ethnic group as Mr Kagame.
DR Congo has been hit by more than
two decades of instability.
 
HABARI ZA KIMATAIFA: RWANDA YAPELEKA ASKARI 1700 KUWASAIDIA WAASI WA M23 BAADA YA KUELEMEWA NA JWTZ[MONUSCO].

KIKUNDI cha waasi cha M23 kinachopambana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kimeripotiwa kupigwa vibaya na kutikisa nguvu za kikundi hicho kutokana na baadhi ya wapiganaji wake kuripotiwa kupoteza maisha. Mapigano baina ya M23 na Jeshi la Serikali ya DRC linalosaidiwa na Kikosi Maalumu cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO), yameibuka upya ndani ya wiki hii.

Habari za kiintelijensia zinasema kuwa, kutokana na shambulio hilo, Serikali ya Rwanda imelazimika kuingilia kati kusaidia waasi hao kwa kupeleka bataliani mbili zenye jumla ya askari 1,700 huko DRC, ili waweze kukabiliana na nguvu ya majeshi ya JWTZ, DRC, Monusco na Brigedi ya Majeshi ya Kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa yenye mamlaka ya kujibu mapigo (FIB).

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo vya habari, Rwanda imepeleka bataliani hizo mbili zenye askari 850 kila moja saa 48 zilizopita na kwamba wamevuka mpaka kuingia DRC katika eneo la Kibumba, lakini wanashindwa kusonga mbele. Habari zaidi zinasema sababu ya Rwanda kupeleka askari wake hao ni kusaidia M23 ambao walipigwa sana Agosti 23 na 27, mwaka huu katika eneo la vilima vya Kibati na kuikimbia ngome yao. "M23 walitandikwa sana Agosti 23 na 27 katika eneo la vilima vya Kibati, na kulazimika kuikimbia ngome yao, ndio maana sasa hivi Rwanda imepeleka batalioni zao kuwapa nguvu, lakini wanashindwa kusonga mbele maana hawajielewi kwa sababu ya kipigo walichopata," kilisema chanzo kimoja cha habari.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo vya habari, eneo la Kibati ndilo eneo kubwa la M23 ambalo wamekuwa wakitumia kuhifadhi silaha zao za kivita, lakini wakati wa mapambano majeshi ya JWTZ , DRC, MUNUSCO na FIB yalisambaratisha kabisa ngome hiyo ya waasi.

FIB inaundwa na askari wengi wa Afrika Kusini na Tanzania. Habari zaidi zinasema kwa sasa majeshi ya DRC, Monusco na FIB yanawasubiri kwa hamu askari hao wa Rwanda kuingia uwanja wa vita ili kukabiliana nao kama walivyokabiliana na waasi wa M23. "Taarifa tulizonazo hivi sasa Rwanda inajiuliza iwapo isonge mbele kupambana au irudi nyuma, ikifikiria pia kipigo walichopata M23," kilisema chanzo kimoja cha habari.

Inaelezwa kwamba, kutokana na kipigo walichopata M23 siku chache zilizopita kimepelekea Rwanda kujikuta ikikiri na kusema ukweli juzi kuwa inakisaidia kikundi hicho cha waasi.

simplemind, mchambawima1, jMali, MUKAMASIMBA, majeshi 1981

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
 
Last edited by a moderator:

Copy and WIN : Choose your trader

OMG! so what happened to them after crossing the boarder in to DRC? didn't know that in this jamiiforum, stupid people to this extent do really exist!!! sometimes you need to respect your fellow members here... how can someone believe this nonsense if there is no single RDF soldier captured alive or shot dead inside DRC? was Monusco in a holiday when RDF soldiers were crossing?
 
HABARI ZA KIMATAIFA: RWANDA YAPELEKA ASKARI 1700 KUWASAIDIA WAASI WA M23 BAADA YA KUELEMEWA NA JWTZ[MONUSCO].

KIKUNDI cha waasi cha M23 kinachopambana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kimeripotiwa kupigwa vibaya na kutikisa nguvu za kikundi hicho kutokana na baadhi ya wapiganaji wake kuripotiwa kupoteza maisha. Mapigano baina ya M23 na Jeshi la Serikali ya DRC linalosaidiwa na Kikosi Maalumu cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO), yameibuka upya ndani ya wiki hii.

Habari za kiintelijensia zinasema kuwa, kutokana na shambulio hilo, Serikali ya Rwanda imelazimika kuingilia kati kusaidia waasi hao kwa kupeleka bataliani mbili zenye jumla ya askari 1,700 huko DRC, ili waweze kukabiliana na nguvu ya majeshi ya JWTZ, DRC, Monusco na Brigedi ya Majeshi ya Kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa yenye mamlaka ya kujibu mapigo (FIB).

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo vya habari, Rwanda imepeleka bataliani hizo mbili zenye askari 850 kila moja saa 48 zilizopita na kwamba wamevuka mpaka kuingia DRC katika eneo la Kibumba, lakini wanashindwa kusonga mbele. Habari zaidi zinasema sababu ya Rwanda kupeleka askari wake hao ni kusaidia M23 ambao walipigwa sana Agosti 23 na 27, mwaka huu katika eneo la vilima vya Kibati na kuikimbia ngome yao. “M23 walitandikwa sana Agosti 23 na 27 katika eneo la vilima vya Kibati, na kulazimika kuikimbia ngome yao, ndio maana sasa hivi Rwanda imepeleka batalioni zao kuwapa nguvu, lakini wanashindwa kusonga mbele maana hawajielewi kwa sababu ya kipigo walichopata,” kilisema chanzo kimoja cha habari.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo vya habari, eneo la Kibati ndilo eneo kubwa la M23 ambalo wamekuwa wakitumia kuhifadhi silaha zao za kivita, lakini wakati wa mapambano majeshi ya JWTZ , DRC, MUNUSCO na FIB yalisambaratisha kabisa ngome hiyo ya waasi.

FIB inaundwa na askari wengi wa Afrika Kusini na Tanzania. Habari zaidi zinasema kwa sasa majeshi ya DRC, Monusco na FIB yanawasubiri kwa hamu askari hao wa Rwanda kuingia uwanja wa vita ili kukabiliana nao kama walivyokabiliana na waasi wa M23. “Taarifa tulizonazo hivi sasa Rwanda inajiuliza iwapo isonge mbele kupambana au irudi nyuma, ikifikiria pia kipigo walichopata M23,” kilisema chanzo kimoja cha habari.

Inaelezwa kwamba, kutokana na kipigo walichopata M23 siku chache zilizopita kimepelekea Rwanda kujikuta ikikiri na kusema ukweli juzi kuwa inakisaidia kikundi hicho cha waasi.

simplemind, mchambawima1, jMali, MUKAMASIMBA, majeshi 1981

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

Hivi huwa unavuta ama kutumia kileo gani wakati mwengine maana sielewi hii taarifa inahusiana vipi na mada. Kwa uelewa vita dhidi ya M23 viliisha baada ya wao kupigwa na majeshi kutoka nchi kadhaa.
 
Last edited by a moderator:
JWTZ YAPELEKA KILIO RWANDA

*Yakamata maofisa wake wanne wa Kijeshi

*M-23 wakiri majeshi ya UN ni hatari yatawamaliza

ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini Kongo (Monusco), wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamedai kuwakamata maofisa wanne wa jeshi la Rwanda, katika mapigano ya wiki iliyopita nchini Kongo.
Akizungumza na MTANZANIA Jumatano kwa sharti la kutotajwa jina, mmoja wa askari aliyepo ndani ya kikosi cha JWTZ huko nchini Kongo, alisema maofisa hao wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi.

Taarifa hizi za sasa zinakuja wakati ambapo kumekuwa na madai ya muda mrefu, ambayo yamekuwa yakitolewa na Umoja wa Mataifa pamoja na Marekani kwamba, Rwanda imekuwa ikiwasaidia waasi wa kundi la M-23.

Pamoja na kwamba Rwanda imekuwa ikipinga madai hayo, kitendo chake cha wiki iliyopita cha kuamua kupeleka bataliani mbili zenye wanajeshi 1,700 ili kukabiliana na kile kinachodaiwa kuwa ni kishindo cha vikosi vya Umoja wa Mataifa vyenye jukumu la kulinda amani katika taifa hilo lenye utajiri mkubwa kirasilimali, kinatokana na waasi wa M23 kupata kipigo kikali.

Chanzo chetu hicho kutoka uwanja wa mapambano nchini Kongo, kililidokeza gazeti hili kuwa maofisa hao wa Jeshi la Rwanda waliwakamata katika mapigano hayo yaliyodumu kwa zaidi ya wiki moja, ambayo tayari yamewakimbiza waasi wa M23.
"Askari wa Rwanda tuliowakamata, ni maofisa wa ngazi za juu kabisa jeshini, tena walikuwa na sare za jeshi hilo… walikuwa wakiwasaidia hao M23, lakini kwa kuwa sisi tulikuwa makini tulifanikiwa kuwatandika hadi tukawakamata," kilisema chanzo chetu hicho.

Habari za uhakika kutoka vyanzo vya habari vya kuaminika zinaeleza kwamba, hatua hiyo ya kuwakamata maofisa hao pamoja na kuondoka kwa waasi wa kikundi cha M23, imefanikisha kushinda vita hiyo kwa zaidi ya asilimia 95.

Mtoa taarifa wetu huyo kutoka Kongo, ameliambia gazeti hili kuwa, tayari Monusco wanaoongozwa na JWTZ wameanza kufurahia ushindi huo na kwamba sasa hivi wanasubiri tamko kutoka kwa wakuu wao, ili kufahamu kinachofuata baada ya kufanikisha hatua hiyo.

cc mchambawima1, MK254, jMali
 
Last edited by a moderator:
When the current news meet the history!
 
The history of M23 is coming to FDLR.
Let us wait and see!
 
kweli kazi ipo! ila kabla ya kukusaidia kukutoa hizo bangi mbichi na hilo gongo la m$##I(GM) ungeanza kwa kutusidia majina ya hao RDF hewa! maana wanajeshi wetu wanamajina na namba kwenye ID zao
 
..hao wameshakabidhiwa kwa majeshi ya DRC.

..Tanzania tuko pale kama kikosi cha UN, lakini chenye mandate ya kushambulia.

..hatukai na mateka wa kivita.
 
JokaKuu unajuwa ujinga ni sawa na mtu aliyekufa kwani haelewi kinachoendelea bali ni huzuni na masikitiko kwa ndugu na jamaa zake! Sasa huu utumbo unao nijibu, walikulisha halafu na wewe ukauamini?
 
..mlizoea kuwaonea Wacongo, sasa tutawasafisha wote.

..hakuna cha M23, wala FDLR, wote tutatimulia mbali.

..sasa muanze kuandaa makazi kwa FDLR kama mlivyofanya kwa wale jamaa zenu wa Operation Kimbunga.

cc MK254
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom