Congo: Damning UN Report mentions Tanzania in bad light. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Congo: Damning UN Report mentions Tanzania in bad light.

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Jan 2, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jan 2, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Africa Confidential, November 2009

  CONGO-KINSHASA | UNITED NATIONS  [​IMG]


  The United Nations Security Council's tenuous authority in Africa has been further threatened by an explosive new report from a UN Group of Experts* showing wide-ranging violations of the arms embargo on Congo-Kinshasa by both Western and African states.

  The expert panel reports that killer militias in Eastern Congo have been receiving military orders from leaders based in Germany and France and getting finance from two Spanish-based charities linked to the Roman Catholic church in clear breach of the UN sanctions regime. The report also accuses the governments of Burundi, Uganda, Tanzania and Congo-Kinshasa of allowing serious breaches of sanctions and the illegal export of mineral wealth.

  After heated discussions at UN headquarters in New York on 20 November, several Council members want to dilute the report's recommendations – if not bury them, Africa Confidential has learned. The Council is due to meet again on 25 November to discuss the report, but China has been pushing for a substantive delay on any actions while the report is translated into another five languages.

  Taarifa zaidi hapa: ON THE BRINK OF MASIVE FAILURE.

  na link nyenguine ya report kamili kutoka MONUC... http://monuc.unmissions.org/LinkClick.aspx?fileticket=sp3bXfZYFxY%3D&tabid=2615&mid=3905

  Kwa wale wasio na m'da wa kuisoma report yote, hapa ndipo serikali ya Tanzania ilipolengeshwa kidole:

  Meanwhile I believe Mwanakijiji alikua na ripoti hapa kuhusu the Tanzanian Govt's involvment in arms traficking in the great lakes region.
  I wonder what the ramifications of this thing will be.

  My Take: Supporting these wars in any form, be it material or otherwise, calls into question the integrity of all governments involved. What leads an individual or Government to do this kind backdoor dealings yet we see people dying in droves while an untold number are left homeless and without subsistence? Then we turn around and lie to our citizenry that we are preaching peace and integration in the name of an East African Community that is unworkable under such instances?

  Mswahili hakukosea aliposema tamaa mbele mauti nyuma...au majuto ni mjukuu huja baadae. When this thing goes full circle mtaanza kusikia majina ya vigogo husika ambao kwa sasa hawajulikani au hawakujui weye mlalahoi kwa vile wanafuja mali.We no longer exist in a vacuum but are a part of a whole and we need to start caring deeply about what we are doing as a people and how it affects the neighbor next door.

  Is the average Tanzaniana aware of his/her govts hand in this blood money?

  Shukran.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kuna genge la watu linafaidika sana na mambo ya kishenzi haya, ndo maana wakianza kuyatetea na kubishia , ni hadi mishipa ya shingo inawatoka!..

  How come the government being unaware of such mighty cargo via our ports, if not a partaker?

  I said before, that the truth is just around the corner!..watabana weee, lakini in no time wataachia hawa!
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,588
  Likes Received: 18,571
  Trophy Points: 280
  Ab Tichaz, everage Tanzanian ajue nini ili iweje, Mwanakijiji alishaandika kila kitu kwenye ile dossier yake. Kelele zimepigwa sana kuhusu Meremeta na Deep Green, Mzee Mwanakijiji alishaconnect the dots. PM Pinda kasema hizo ni sensetive news for National Security! hivyo no discussion.

  Leo kwenye mazishi ya Simba wa Vita, Salaam za Makamo Rais wa Uganda Kategaya, katoboa siri, Nyerere kupitia Kawawa ndio waliompokea Obote na kufadhili harakati za kumpindua Amini tangu 1972. Ni Kawawa aliwakabidhi Paundi 50,000 kuanzisha NRA ambayo nayo ilikuwa inampinga Obote na Amini. Ni Tanzania ndio iliwapa silaha NRA huku zikiingizwa kama za Frelimo.

  Kwa wale wazamani enzi za Jarida la Africa Now, mwaka 1978 lilichapisha picha za unyama wa hali ya juu uliokuwa ukifanywa na NRA chini ya Museveni, dhidi ya watu wa Nothern Uganda. Kumbe tumewapa silaha watu wa Obote na Museveni wachinjane ndipo tukavamia kumtimua Amini!.

  Kuna uwezekano sio tuu, Tanzania imemsuport Kabila senior, bali pia tunawapa silaha maadui wa Kabila jnr!

  What I really don't know, ni for what interest?. Hivi kweli nasi tunataka blood diomonds wakati zetu pale Mwadui tunagawa bure?. Why!?.
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  jana nilikuwa naongea na mcongo moja ambaye kwa kweli ameiongelea vibaya tanzania, uganda, rwanda na burundi katika kuiba mali ya congo na mauaji ya mamilioni ya watu, mimi nilijaribu kuitetea tanzania na kuwasema rwanda na uganda, mpaka akaniuliza najua French? ili anipe mambo yanavyo andikwa kuhusu Tanzania na hizo nchi zingine katika kuhusika kwao na vita/mauaji yanayotokea huko.
  Sasa leo hii nakutana na Hii, sasa kweli naanza kuona Mwanga.
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hii issue ya DRC wala msiichukulie rahisi namna hiyo wala siyo suala la TAnzania, Uganda na Burundi. MONUC yenyewe ajenda yake ni kuhakikisha DRC inagawanywa baada ya muda fulani.

  Wamenaza kutenga eneo kwamba ni eneo huru halitakiwi kukaliwa na majeshi ya pande zote (congo na rwanda) lakini ktk eneo hilo hilo kuna wahamiaji maelfu kutoka rwanda wamekuja pale, hawa baada ya miaka kama 5 watadai kujitenga kutoka kinshasa na hapo DRC itagawanywa kwa baraka za UN, kumbukeni yaliyotokea kosovo.

  Wala hii issue ya silaha siyo ngeni Joseph kabila mwenyewe anajua mpango wa UN na US wa kuigawa DRC. Kwa hiyo Tanzania huenda inatumika kwa makubaliano na UN/US ila kwa ujanja.
   
 6. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Watanzania tumejaa damu mwili mzima huku tukiimba wimbo wa amani tukiwa tumejifunika ngozi ya kondoo, tumejifanya wema tumewakaribisha wakimbizi toka Rwanda na Burundi na Kongo kina mama wajawazito na watoto wao mchana huku usiku tunawavizia na kuwanyonya damu zao na waume wao. Badala ya kugawa vidonge ili wapone majeraha kumbe tunagawa risasi watoboane zaidi huku tukiimba haleluya.

  Tunaenda UN kuomba misaada eti tumezidiwa na wakimbizi kumbe ni unafiki unafiki uliopindukia. UN wanatuletea mahema na magari kumbe ya kubebea siraha na mizoga tupeleke Kongo watu waue baba zao ili wake zao na watoto wao wazidi kuja Tanzania tupate misaada zaidi.

  Yuko wapi Mungu wa watu hao yuko wapi Mungu wa watu waliokuwa wanafanya biashara za maiti ya watu wenzao, sasa wenzao wanalia na makaburi wakati wao wakila kuku wa mrija wakipungwa na upepo wa bahari ya Hindi huku watoto wao wakila minofu iliyonunuliwa kwa damu ya watoto wenzao, it pains.

  Wakiulizwa wanakuja juu tuletee ushahidi usiongee hizi ni habari nyeti usifunue hilo pazia utaumia macho kumbe nyuma ya pazia kuna mzoga wa mtu unanuka umetobolewa tobolewa matundu ya risasi wanaficha tusijue.

  Haya yote yana mwisho, watabana sana lakini mwisho watajulikana wote, mambweha wamemaliza kondoo wa Tanzania wameanza kula kondoo za majirani ili tuaibike wote harafu wao watukimbie waende Uswisi watuachie uvundo tukisigana na majirani, tutawafuata huko huko waje kujibu madhambi yao kwenye mahakama ya kimataifa Arusha ya mauaji ya Rwanda, sijui hiyo mikono ya damu watanawa kwa sabuni gani.
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Jan 4, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ...I feel your pain on these two issues you have raised. Kilio cha wafu
  jamani hakiwatii hawa watu soni? Kisha eti humuhumu tuna-host tribunal
  za kuwashtaki walio-finance mauaji ya Rwanda na nyuma ya pazia tunauza
  silaha.

  That is hypocrisy of the highest order.
   
Loading...