Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #161
hapo umenena rafiki......Ili kuwakomesha hao wanaokusema ni wewe kuendeleza tabia njema huku ukijitaidi kwa kadri uwezavyo kuwabadilisha wenzako wenye tabia hiyo isiyo nzuri(yakupendeza)
wakiona wanakusema ila wewe hutetereki na wala hauyafanyi wanayoyasema ni wazi wataazha kuchonga maneno.
sijui kwa nyie wakaka hii imekaaje.........urafiki una gharama za ki hisia ambazo unawajibika kulipa 'fadhila' ili kudumisha uhusiano wenu.
Kwa kila tabia mbaya ya unayomvumilia rafiki yako, inampasa naye akustahmilie tabia ya kwako mbaya.
mfano;
kama unajua rafiki yako anam cheat mkewe/mumewe, it's most likely nawe una multiple partners, la sivyo
wewe/yeye mmoja wenu anamkuwadia mwenzake.
Ni kweli kabisa ukweli utabaki nao mwenyewe....... hii sentensi naipenda sana, ukweli naujua mimi, wengine mtaishia kuhisi tuUnajua vitu vikitokea uchukuliwa ndio hivyo kwa watu wote japo kuna ukweli lakini watakao amini kama hizo tabia (mbaya)(nzuri)za rafiki yako wewe hutokuwa nazo au unazo.
Ukweli utabaki kuwa nao mwenyewe uku macho ya walimwenguyakibaki kukutazama
Ni kweli kabisa ukweli utabaki nao mwenyewe....... hii sentensi naipenda sana, ukweli naujua mimi, wengine mtaishia kuhisi tu
ha haaa, utasutwa.... shauri yako....FP
Embu funguka masahibu gani yamekukuta dada angu?
ha haaa, utasutwa.... shauri yako....
kuna jamaa enzi hizo alinisingizia mambo fulani kwa watu, nilichukia sana na kwa sababu sikuwa na jinsi ya kuwathibitishia watu ukweli wa jambo, nikaishia kumwambia ukweli tunaujua mimi na wewe, hawa wengine waamini wanachotaka
na wewe naomba uende ukawasome HorsePower na SMU uone walichoandika kwa kirefu sanaLisa ameongea kweli tupu, ndege wanaofanana huruka wote, mtoa mada fahamu kitu kikubwa kinachowaunganisha nyie kuwa matafiki ni matengo ya tabia zenu kufanana hivyo huwezi kuwa na urafiki na mtu wakati tabia zenu hazifanani, labda uwe urafiki unakinafiki hapo kina mtu anaweza kuwa na tabia zake
Mimi nilijiuliza na sikupata jibu...hvi kumbe sikuhiz na pesa ni tabia!?kazi kweli.
Jamani tumesalimika ndugu zangu?
Nina hili jambo huwa naliwaza sana na labda sielewi kwa nini watu wengi wana mtazamo tofauti na ninavyoamini mimi...
Ni hili swala la marafiki wa kuambatana nao (hapa naongelea marafiki wa kawaida tu na siyo wapenzi).
Watu wengi wanasisitiza sana watu wasiambatane na marafiki wenye tabia "mbaya" kwa sababu wanazozijua wao. na hili limenichanganya zaidi baada ya kulisikia jana kwa mtu ambaye sikutegemea angewaza hivi.
Mimi naamini unaweza kuwa na marafiki wenye hizo tabia na wewe usiwe/usiige hizo tabia zao.
Labda mimi sielewi mtu mzima unawezaje kuwa influenced na tabia ya mtu mwingine ambayo unaona siyo nzuri?
NOTE: HII NAONGELEA WATU WAZIMA AMBAO WANAJUA KUTOFAUTISHA JEMA NA BAYA, TUSIHUSISHE WATOTO KATIKA MJADALA HUU
ladyfurahia, hapa kumbuka tunaongelea watu wazima na si watoto.mpendwa ukiambatana na mwizi nawe utakuwa mwizi, hivyo basi ukiambatana na mwenye tabia mbaya ile tabia mbaya nawe utakuwa na tabia mbaya, tabia huambukiza kwani ukiwa na mtu mwenye tabia nzuri na nawe utakuwa na tabia nzuri tabia inaambukiza na kujenga kitu katika moyo wa yule rafiki yako hivyo basi jua kuwa rafiki yangu tabia inaambukiza ningekupa andiko ila nimesahau nitatafuta nikupe siku ingine
be blessed
haya hayajanikuta mimi. kama unavyosema mimi ni mtu mzima na siwezi kuwa influenced na tabia za mtu mwingine, labda mimi mwenyewe nitake kufanya hivyo. ninachoangalia hapa tu ni kwa nini watu waseme mtu ana tabia mbaya sababu tu ana rafiki wa tabia zile!Nani mwenye mamlaka ya kuamua kuwa hii ni tabia mbaya na hii ni nzuri? Mimi nadhani ni wewe mwenyewe. Pili marafiki hawaji kwa bahati mbaya lazima kuna kitu mnaendana na kama wewe ni mbinafsi basi kuna kitu unatafuta toka kwao ndiyo maana wanakuwa marafiki zako.
Tatizo ni kwamba anayekuwa anajua ukweli huo ni wewe mwenyewe na watu wengine wanakuwa hawajui kwanini fulani ni rafiki yako na wanaanza kutumia vigezo vyao na kumwita huyu mzuri na yule mbaya. Binafsi nasema fuata utaratibu wako na kwa post zako hapa JF unaonaekana wewe ni mtu mzima yaani above 25. Kila la kheri
pole sana Remmy, hao ndo wakaka, lol!Mimi siamini katika hilo. Kuwa marafiki mwafanana tabia. But imeniweka pabaya kwa mpenzi wangu kwa sababu ya marafiki nilionao amekuwa haniamini kabisa.
Imenifanya nianze kupotezea urafiki for the sake of my love for him.
Hivi vitu ni vigumu sana na kuna wengine hata ukieleza vp hakuelewi.
mimi pia nafikiria hivyo. kwanza kujitahidi kumsaidia rafiki aachane na hiyo tabia yake mbayakwa mtazamo wangu binafsi, siwezi kuiga tabia ya mtu kisa tupo marafiki..na kwa upande mwingine nikiwa na rafiki ana tabia fulani iliyopitiliza na hamna dalili akapunguza au kuacha basi nitamsaidia ajitahidi kubadilika!! Hii ni kwa rafiki niliyenae karibu ambaye uwepo wake kwangu nami kwake unaonekana na una thamani...
Mjasiri mimi naongelea marafiki na si watu ninaofahamiana au nakutana nao wakati fulani tu. hao hao marafiki unaoweza kuwakimbilia siyo kweli kama mtafanana 100%. hapo kwenye RED nakubaliana na wewe kabisa, huwezi kuwa na urafiki na mtu ambaye mna tabia tofauti kabisa, hapo sasa sijui mtakuwa mlipatanaje.Inawezekana tatizo lako kubwa ni kujua maana ya rafiki FP. Kujuana na watu, kuongea nao na kuambatana nao hakuwafanyi kuwa marafiki. Marafiki ni mutual feeling, communal understanding. Hao unaosema wewe kuwa wanaweza kuwa na tabia mbaya ukawa nao ni watu tu uliowazoea kwa sababu mazingira na mazoea yamekufanya uwe nao katika muda fulani lakini kamwe si marafiki
Angalia wale watu (marafiki) unaowatafuta kwa mara ya kwanza unapokuwa kwenye matatizo (kwa kiinglish tunasema IN DEEP SHIT). Hao lazima mna tabia zinazofanana kwa kiasi fulani. Na hao ndio hasa marafiki zako.