Confusing

Tatu tu hizo...vimacho tu vinafanya madoido

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nne kwa upande wa kushoto,tatu kwa upande wa kulia...:wink2:
 
Wote wako sawa kuligana na upande waliopo angalia picha hii iyo misitari mieusi nimejaribu kuonyesha...
 
Wa kushoto anahesabu vipande vilivyopo hapo na wa kulia anahesabu nafasi zilizoko baina ya vipande hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…