confused

na mchumba ananipenda xana na anataka kunioa tatizo kiukweli haniridhish ktk mapenz cpati raha kbs kitu kinachofanya nimkumbuke mpenz wangu wa zamani kumwambia naogopa nicje kumdissappoint
Mkuu mahipsi baby pole kwa hayo yanayokukuta jaribu kuwasiliana namimi kwa njia ya email yangu hii (fewgoodman@hotmail.com) ninaweza kukusaidia na huyo akaweza kukurithisha kimapenzi.

jinamizi gani limeingilia mapenzi ..
Kila kukicha jipya.

Sasa nakushauri mahipsi, fuatilia post za MziziMkavu

alafu nani kakwambia kwamba ukimwacha huyo ndo utampata mfikisha vilele... Afu usikute tatizo ni lako wewe.. Unakaa kama gogo kunako shughuli wategemea nn?
Nimesha mpa ushauri wangu mkuu asante data
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini umesema "i will" kwa mtu ambae unajua si chaguo lako?...na soon utasema "I do" afu uanze kumtafuta ex wako muanze kuchiti?

Kwanini inakuwa kwa mabinti wengi mtu akikwambia nataka nikuoe ni mwiko kusema hapana?

Ni desperation au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom