Hii sio conclusion bali ni kitu cha kudiscuss
Kwa ambao wameshakumbwa na hali kama hii wanaweza kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kucoment. Kuwa katika mahusiano ya wapenzi au wanandoa, kuna point inafika emotions kati yao zinafifia, kila kitu kinakuwa biznez as yuzho...
Lakini ikitokea wawili hawa wakakwaruzana kwa bahati mbaya, then wakasuluhisha, mapenzi na emotions hufufuka upya.
Sio jambo la ajabu kuona mtu na mke wanaishi kwa 'amani', lakini hakuna vionjo kama zile saprize za outings, vijizawafi n.k. Lakini wawili hawa kama kumetokea ugomvi baina yao, mara baada ya kuusuluhisha, then utaanza kuona vijisafari vya kwenda kula pizza, vijizawadi na hata ile kuitana baba fulani au mama fulani kila siku, hubadilisha na mara kadhaa utaanza kusikia majina dear, my love n.k.
Kwa walio wachumba/wapenzi, nao mapenzi hukolezwa mara baada ya siku kadhaa za kuchuniana, kununiana au hata kuachana kutokana na conflicts za hapa na pale then wakazisuluhisha...
Toa experience yako tafazal