Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
kama kweli, Mungu awasamehe kwa kuwa hawajui watendalo.
but baada ya kujifungua si lazima 6 months ipite. muda unaweza kuwa mfupi au mrefu kutegemeana na namna mama alivyojifungua na matatizo yaliyoambatana na tukio zima la kujifungua. kwanza siamini kuwa kuna baba mwenye akili timamu anayechukia mkojo wa mwanaye au hicho unachoita shombo la mtoto. labda kama ni wewe tuweke wazi ili nikuingize rasmi kwenye ratiba yangu ya maombi ,anake utakuwa umefilisika katika upendo.
Kuogonga out siku moja moja imo..... we mwenyewe unaona watoto wanavyojishebedua ukiacha wanakuona how come, full mitego.... unapiga lakini usitake uweke kibanda noma!!!
Judith, look, ukweli ni mbaya sana, si kwamba baba atachukia mkojo au shobo la mtoto, it comes automatically na kupunguza hisia/sexual feelings, na hutagundua dada yangu ni ngumu kuongelea but sometimes utasikia mumeo/BF wako akisema mchukue mtoto bana
kajisaidi/kakojoa sometimes kitandani, time goes, usiku, mchana unapita SEX FEELINGS zinapungua LOVE remain as usual, mm sijaoa, ila issue ipo wazi Judi
wapi tena mazeeHii hali ya kutoka nje ya ndoa baada ya mama kujifungua hutokea kama upendo umepungua ndani ya ndoa. Kama kuna mapenzi ya kweli hali hii haiwezi kutokea. Hakuna kipindi maalum cha kusubiri, kama kuna "shida" bado kuna mbinu nyingi za utatuzi zaidi ya huko mtoto alikotokea.
ndugu, hiyo itakuwa miongoni mwa ninazoamini kuwa ni abnormalities na silaha iliyobaki ni maombi tu, atakuwa muflisi wa upendo na mateka wa shetani, so hata kumhukumu ni kumuonea tu kinachomfaa ni kumuombea tu ili Mungu kwa rehema zake amuokoe toka dhambini
Niliwahi sikia wanasema akili za midume zipo katikati ya miguu yao naanza kuamni huu msemo mhh
Niliwahi sikia wanasema akili za midume zipo katikati ya miguu yao naanza kuamni huu msemo mhh
MARIA ROZA usiamini kila unachoambiwa si wote wenye Tabia hizo
Niliwahi sikia wanasema akili za midume zipo katikati ya miguu yao naanza kuamni huu msemo mhh
Naomba niwatetee nnaowafahamu wasio na tabia hiyo!Wengine ndo kwanza kua na watoto kumewabadilisha...wamekua watulivu na hawakimbii watoto wao eti wananuka mkojo!Mtu wa aina hiyo hata aibu hana...tamaa za mwili zikiendesha maisha yako utaishia kufa kwa magonjwa...mbaya zaidi unampa na mke alietulia nyumbani!Wenye tabia hizo badilikeni...kueni na huruma kwa wake na wapenzi wenu!Ubinafsi hautakiwi kwenye mahusiano!
Very well said.