Confirmed: Msichana wa ukwee` ..

Confirmed: Msichana wa ukwee` ..

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,828
Reaction score
12,321
Ni yule anayetumia usafiri wa daladala kwenda na kurudi kazini.
Hawa wenye magari yao wanamizinga sana.
 
wengine tushachoka kupanda daladala, tunapigaje mizinga sasa tusogeze japo mtoto wa gari(vitz)

Daladala zinachosha mwenzangu kuna mwenzangu mpaka miguu imeota sugu kisa kupanda daladal
 
umeonaee naskia hizo daladala za mbagala mpango kuingilia dirishani lazima ujute kama huna mazoezi ..
bora huku sitimbi natembelea miguu kwenda kazin siku ya kuchukua mshahara nasubira gari la halmashauri
 
waambie hao,si wanang'ang'ania kukaa Darislamu!Huku kwe2 wala ha2na adha ya usafiri kabisa,hahahaaa
 
umeonaee naskia hizo daladala za mbagala mpango kuingilia dirishani lazima ujute kama huna mazoezi ..
bora huku sitimbi natembelea miguu kwenda kazin siku ya kuchukua mshahara nasubira gari la halmashauri

Ndio raha ya kutoishi mjiniii mi nipo zangu huku mashambaniii najilimia tu
 
Yani na ujambazi wako unaogopa mizinga?? Eboh!
 
umeonaee naskia hizo daladala za mbagala mpango kuingilia dirishani lazima ujute kama huna mazoezi ..
bora huku sitimbi natembelea miguu kwenda kazin siku ya kuchukua mshahara nasubira gari la halmashauri

hahaha! Eti gari la halmashauri! Umenchekesha!
 
Ni yule anayetumia usafiri wa daladala kwenda na kurudi kazini.
Hawa wenye magari yao wanamizinga sana.

kwahio siku akiwa na uwezo wa kumiliki gari atakuwa 'si msichana wa ukwee'?
 
Dah wny magari wakae kando,nafasi yetu sie wagombea daladala za kimanzichana!kakajambazi mi am redi ila hilo jinalo mwishoni linauhusiano na kazi yako?
 
Back
Top Bottom