Confirmed; kuna watu wanafikiri kwa masaburi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Confirmed; kuna watu wanafikiri kwa masaburi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amoeba, Aug 23, 2011.

1. Amoeba

Amoeba JF-Expert Member

#1
Aug 23, 2011
Joined: Aug 20, 2009
Messages: 3,328
Likes Received: 93
Trophy Points: 0
Nashawishika kuamini kuwa ama kweli kuna watu wanatumia yaleee yakuketia chooni kufikiria: Mtu anaidea nzuri kabisa ya biashara, mjinga mmoja anakuja kumkatisha tama mwenzake kwa kumkariria maandiko ya kwenye vitabuÂ…!!! Hivi hizi akili za kunakili mnazitoa wapi?...Kama imani ya mtu inamruhusu kufuga mnyama huyo MWACHE, siyo unakaa unamshambulia na maneno yasiyo pua wala kisigino; wacha watu wajenge uchumi imara kwa jasho halali!! MIMI NAFUGA HUYU MNYAMA KWA MIAKA MINGI SANA, NA MUNGU NAMPATIA SADAKA YA NGURUWE NA ANAIPOKEA NA ANABARIKI KAZI ZA MIKONO YANGU-MWANADAMU NI KIDUDU GANI!!

pot belly.jpg

MUNGU HAWEZI UMBA MNYAMA KISHA AMHARAMISHE, HUYO MUNGU ATAKUWA KICHAA?

2. Maria Roza

Maria Roza JF-Expert Member

#2
Aug 23, 2011
Joined: Apr 1, 2009
Messages: 6,773
Likes Received: 103
Trophy Points: 160
Nimemiss hii nyama balaa

3. samito

samito JF-Expert Member

#3
Aug 23, 2011
Joined: May 16, 2011
Messages: 621
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
mate yananitoka tu hapa, ngoja mda wa kazi uishe nikaanze na supu yake pale JJ sinza

4. Amoeba

Amoeba JF-Expert Member

#4
Aug 23, 2011
Joined: Aug 20, 2009
Messages: 3,328
Likes Received: 93
Trophy Points: 0
Kwani unaishi mashariki ya kati? Aisee pole sana; karibu kwangu nikuchinjie dume! hahaa

5. Kwamex

Kwamex JF-Expert Member

#5
Aug 23, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 378
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Bora basi angefikiri kwa Masaburi yote, inavyoonesha saburi lake moja 'limeparalaiz'.

6. Amoeba

Amoeba JF-Expert Member

#6
Aug 23, 2011
Joined: Aug 20, 2009
Messages: 3,328
Likes Received: 93
Trophy Points: 0
Kweli mkuu, watu wanapotezana kweli!

7. D

Derimto JF-Expert Member

#7
Aug 23, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 1,305
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Jamani sio poa mnawaharibia wenzenu swaumu yao kuweni waungwana basi kidogo

8. ndetichia

ndetichia JF-Expert Member

#8
Aug 23, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 27,641
Likes Received: 236
Trophy Points: 160
kwani nani kakuambia huyo ni haramu wakati hata nyama yake iko juu balaa hao ndio majununi hao washindwe na kulegea..

9. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#9
Aug 23, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 35,263
Likes Received: 21,997
Trophy Points: 280

ngulubhe imenona hadi miguu imezamia kifuani

10. BONGOLALA

BONGOLALA JF-Expert Member

#10
Aug 23, 2011
Joined: Sep 14, 2009
Messages: 13,782
Likes Received: 2,391
Trophy Points: 280
Mimi nawashangaa sana wasabato kukataa pombe,nguruwe na sikukuu ya x mas na huku tunatumia biblia hiyo hiyo

11. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#11
Aug 23, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280
Kwani umefunga?

12. figganigga

figganigga JF-Expert Member

#12
Aug 23, 2011
Joined: Oct 17, 2010
Messages: 14,971
Likes Received: 6,601
Trophy Points: 280

kwani kutaja jina dhambi?

13. Lyamungo

Lyamungo Member

#13
Aug 23, 2011
Joined: Aug 17, 2011
Messages: 91
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
mbona kwa mwezi huu hazinunuliwi kabisa? kuna siri gani maana baada ya huu mwzi biashara inaenda balaa

14. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#14
Aug 23, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
mkuu wa meza huyo bana!

15. kichomiz

kichomiz JF-Expert Member

#15
Aug 23, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 11,990
Likes Received: 2,649
Trophy Points: 280
Aaah wanajifanya hawali wakati mbinu zao tunazijua,iyo kitu wanaweka kwa chini nyama ya mbuzi juu ,wakati wa kula anachomoa za chini tu za hazigusi.

16. Lokissa

Lokissa JF-Expert Member

#16
Aug 23, 2011
Joined: Nov 20, 2010
Messages: 7,079
Likes Received: 154
Trophy Points: 160
ushahidi wa kujua nani walaji wakubwa wa hii kitu tembelea baar msimu huu wa mfungo uone kulivododa ukiagiza unaletewa fasta kwani hakuna walaji ngoja msimu huu wa uishe uone kitakavoshupaliwa na kugombaniwa...sasa tuseme nani mlaji mkuu??? anzia B bar sinza, lufungila,kimara,migombani savei nk. kazi kwenu mlioko kwenye neema

17. MKUNGA

MKUNGA JF-Expert Member

#17
Aug 24, 2011
Joined: Dec 10, 2009
Messages: 443
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Utachinja ama kumpiga shoka???

18. Shine

Shine JF-Expert Member

#18
Aug 24, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

Mkuu badili usemi wako wa Mungu kuwa kichaa

19. Cha Moto

Cha Moto JF-Expert Member

#19
Aug 24, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 945
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Biashara kama inalipa, mshauri tu aifanye
Ila cha kuzingatia asivunje SHERIA za nchi na wala asiwakere WATEJA wake

Loading...