Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,575
- 552
........FYI Mr. Sugu ana elimu nzuri kuzidi hata hao wabunge wengine.Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje
........FYI Mr. Sugu ana elimu nzuri kuzidi hata hao wabunge wengine.Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje
Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje
Sasa huyu Mr. Zero bungeni akafanye nini?? Chadema hapo mlifuka ilitakiwa kuangalia mambo mengi kuteua mgombea. Au kisa bongo fleva??? Bunge shule vijana sio sehemu ya kwenda tu. Ok yetu macho ndo ninyi wenywewe mtakao mkana 2015.
Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje
Obi nakuomba uondoe picha ya hayati baba wa Taifa nadhani kiungwana si busara kuiweka hapo. Zipo picha nyingi unaweza kutumia tafadhali tumia busara kuiondoa. Nadhani hata wana JF wengine wameliona hilo. Tumwache mzee wetu apumzike kwa amani.
Jimbo la Mbeya Mjini
UBUNGE: Joseph Mbilinyi (CHADEMA) - 46,411
Benson Mpesya (CCM) - 24,327.
nguvu ya Umma Imeongea.
Haya yametoka kutangazwa na Tume Mbeya
Hii inaonyesha we ndo huna elimu kabisa. Katiba ya Tanzania imeweka sifa ya kuwa mbunge na watu wengi wanaelewa. Kama kwenda Bungeni ingekua elimu tungewakilishwa na Professors na Dr, wa pale mlimani. Kawawa alikua bungeni na hakuwa na elimu ya chuo na aliweza kuongoza kwa uadilifu. Tatizo lako ni kuwa elimu yako ndongo sana au kama una elimu basi una ulimbukeni mkubwa na elimu haikusaidii hata kidogo. Kama ingekua suala la elimu hao kina Mramba wana elimu nzuri tuu na si ndio hao wanaoiba kila siku na kufanya watu vijijini wakose madawa. Sokoine alikua na elimu gani?Acha ulimbukeni jaribu kwenda shule. Sugu anafaa sana kwenda bungeni kwa kuwa ana uzoefu na maisaha ya mtaani na atatoa changamoto nzuri tuu. Sugu ana elimu ya uraiani kubwa kuliko viongozi wenu wengi tuu wanaoenda kusinzia bungeni na kenenepesha matumboSasa huyu Mr. Zero bungeni akafanye nini?? Chadema hapo mlifuka ilitakiwa kuangalia mambo mengi kuteua mgombea. Au kisa bongo fleva??? Bunge shule vijana sio sehemu ya kwenda tu. Ok yetu macho ndo ninyi wenywewe mtakao mkana 2015.
Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje
We ndio ziroAcheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje