Elections 2010 CONFIRMED: Iringa mjini CHADEMA (Peter Msigwa) yatwaa ubunge

afadhali monica mbega amepigwa chini manake pamoja na kuwa na cheo cha ubunge na ukuu wa mkoa sikuona alichokuwa anafanya, alikuwa ni mtu wa kubebwa tu na viongozi wa juu, we mtu anabebwa hata kwenye kura za maoni!
 
Ninakipenda sana Chama cha Mapinduzi ila ninaudhiwa na tabia za kishenzi za viongozi ambao hawasomi alama za nyakati, kwa wakati huu tumeshinda ila kipindi kijacho tutakuwa na hali mbaya sana, kwa ujumla nawapongeza Chadema ila najua kwa kiasi chochote mnachoshinda, ni kwa uzembe, ubinafsi na upofu uliokithiri wa viongozi wa CCM! Inauma sana kwa chama kizuri kama CCM kushabikia uzishi badala ya kuwa na mikakati inayoeleweka wenye ukweli wa mambo, kuna tatizo gani ukisema tumekosea hapa, tunahitaji marekebisho hapa, wewe unachofanya si sahihi na ni kinyume cha chama. Hebu fikiria chama chenye vissions na mipango mizuri katika karatasi, halafu kinakuwa na viongozi 'wendawazimu' wanaolindwa na 'huyu ni kada wetu' wakihubiri wasiyoyaamini hata kidogo, wakiwazodoa hata wale wenye mawazo mazuri mbno kwa maendeleo ya nchi yetu... na kuwachukia wale wanaokikosoa Chama eti ni 'wasaliti'.... Tunahitaji mtu kama 'Nyerere' ambaye Ushujaa wake umekuja kwa kuwa na tabia ya kuona'yes jambo hili ingawa limeelezwa nna wapinzani ni wazo zuri, kwanini tulazimishe kukosoa wakati wazo linaonekanma kuwa bora kabis akwa maendeleo yetu....' ... '.. Tulivyowaza vile tulidhani tuko sahihi kabisa kabisa kumbe tulikuwa tumekosea kabisa, sasa tunapaswa kujipanga upya na kujikosoa na kurekebisha tukijifunza kwa haya.......'
 
Waache wote walio kataliwa na kura za maoni wapigwe chini iwe funzo kwa ccm
 
Tupo pamoja ila usiwe na wasiwasi tutarekebisha hali hii there will be no longer Dr Slaa 2015, kama ilivyotumika staili ya kumdhibiti Mrema, bado kuna mbinu kibao
 
you mean the kilimanjaro rc, monica mbega amefanywa mbaya na chadema?? Very good.
naomba nitajie jina la huyo mbunge mteule wa chadema aliyemvuruga huyo mwanamke aliyepewa nafasi kwa upeneleo.

Mbunge mteule wa Iringa Mjini Mchungaji Msigwa.Ni Mchungaji wa makanisa ya Kiroho hapa iringa mjini
 
Wanyalukolo have made us a proud people!! Huyu mkwere na familia yake hawajui kuwa wanyalukolo huwa hawapendi kudharauliwa; wenyewe walimtaka Mwakalebele na nyie kwasababu zenu mkamkataa sasa mlitaka wafanyeje? Wanyalu sio watu wa mchezo , naona ajabu kwani Kikwete anajua jinsi wanyalu walivyomfanyizia DR Kleruu!!
 
Hivi kwani Maggid ni mtanzania,

arudi kwao Sweden...! Tanzania hatutaki watu wanafiki wa sampuli yake kabisa....!
 
Monica Mbega ameanguka na chadema tumechukua hiini kwa mjibu wa BBC sijapata jina la mbunge mteule...chadema juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom