Confirmed: Huyu Mod Kumbe Mzaramo............!

Haiko shaka, utajua hata viunga na mashamba yake. Almuradi heri tu nisije kukupeleka huko Mwali atoka, au ukaona gendaeka la Pazi laenda madogolini ukapiga ukelele.

dah, hapa naona hata kiswahili kinaanza kunipiga chenga. Sweetlady niokoe. Madogolini ndio wapi tena?
 
Last edited by a moderator:
Wewe naye acha uoga mbona Kiswahili alichoongoea Kiranga rahisi sana Kisokula mlimwengu,sera nale.

Mie ndo maana saa nyingine najibweda na Kiingereza burushi changu hapa, maana wanagenzi hata ukiandika Kiswahili lalama jadi.

Bila msamiati kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…