Ngugu jamani wapinzani na msio wapinzani..!! Hawa ndugu zetu wana CCM bado wana wazo la Kuchakachua tu...!! but Mnyika , Mdee , Sugu ,... Kiboko yao, Kama vipi futeni upinzani...!!!!
Kama kada wa CCM, I believe Halima Mdee will make our bunge so much better. Hongera na kila la kheri Mshkaji. Now you get to be the incumbent. We will be waiting.
Sasa viti maalum pia si ulikuwepo? Sasa itakuwaje hapo?
You have made me happy to-day!! Jioni mimi na chupa yangu ya CAMUS brandy nikingojea habari toka Kilombero Kwa GENDER SENSITIVE!!Hopefully nako mambo yatajipa.
Mkuu Halima, nilikuwa nakusiliza live hapa ukihojiwa na Wanyama Wachebusire.
Ama kweli binafsi umenikonga roho mwana dada..
Yaani moto uliowasha ni kwenda mbele tuu..Kamwe hakuna kurudi nyuma tena
Big up..!!
Inaonekana wananchi wamezingatia wito wa maaskofu kula pesa chukua pesa usitoe kwa sababu kula cha mjinga sio dhambi, kauli ambayo ccm waiitafsiri kama udini