kama pia umepata wasaa wakupitia baadhi ya habari za BBC kwenye jukwaa la Technology pia utaona Ufaransa wanawashutumu wamarekani kwa kuimplant spyware ambayo imechange kuwa software kwenye machine za wafaransa,hii pia ina nikumbusha jinsi USA na Israel walivyo tuma virus alie broke na kuiba data kwenye computer za wa Iran katika Nuclear plants,pia inanikumbusha ugomvi na uhasama wa chinichini unaonendelea kait ya wamarekani,Wajeruman na wafaransa kama unakumbuka kauli tata ya defense secretary kipindi cha G.W.BUsh Don Rumsfeld alivyo toa kauli tata kwa wajerumani na wafaransa "I don't. I think that's old Europe."Hii ni kufuatia kudokolewa kwa mazungumzo ya Kansela wa Ujerumani Angeler Markell kwenye simu yake na shirika la NSA. La Marekani, mpaka sasa Balozi wa USA nchini Ujerumani ameitwa kujieleza,ila Obama na serikali yake wamekanusha taarifa hiyo. Je nini kitatokea wakati Umoja wa Ulaya ukikutana leo mjini Brussles Ubelgiji? Lets keep loading......
Source:BBC WORLD NEWZ.
Sasa hali tata ikowapi hapo?? Wabongo wambea sana!! Si afadhali huyo wana hack mawasikiano yake!! Mbona office nyingi za mawaziri, na office za kina mwema na kova waliingia na mbwa kuwachunguza!! Hao ndio Marekani bwana!! World Police
Ni Tanganyika tuu tuliowajinga kuwaachia wamarekani Ikulu.
Searching.......................................:A S-confused1:
Ujuzi ukipitiliza ndiyo shida zake, marekani wanaweza hata kukuchungulia ndani kwako if they want to, wako advanced sana kwenye technologia ya ki-electronic;
We fikiria walikuwa live (on sky) wakati wanamshambulia chief wa ugaidi duniani kule pakistani - jamaa wako njema.
Eee mola muweza wa yote!tunakuomba sisi tulio wanyonge ufanye namna taifa la marekani lianguke kama yalivyoanguka mengine mengi yaliyopita....e mungu utusaidie kutuepuhsa na hawa maagent wa shetani hawa wasifia maovu na washirika wake uwachanganye na kuwavuruga kama ulivyofanya pale babeli...amen
Hii ni kufuatia kudokolewa kwa mazungumzo ya Kansela wa Ujerumani Angeler Markell kwenye simu yake na shirika la NSA. La Marekani, mpaka sasa Balozi wa USA nchini Ujerumani ameitwa kujieleza,ila Obama na serikali yake wamekanusha taarifa hiyo. Je nini kitatokea wakati Umoja wa Ulaya ukikutana leo mjini Brussles Ubelgiji? Lets keep loading......
Source:BBC WORLD NEWZ.