Confirmation code

Confirmation code

64-bit

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
298
Reaction score
147
Confirmation code inachukuwa mda gani kutumwa, wazoefu mtujuze....mana kunaacount huku inadai confirmation code
 
Request utumiwe confirmation code, ukisubiri utumiwe itakula kwako.
 
Mkuu,samahani.mm nimesha request ila bado sijatumiwa izo CONFIRMATION CODE .nafanya jee? .
Screenshot_20190907-185750_1.jpg
 
Sikilizia hadi baaadae kama itakuwa inasumbua basi jaribu kuwasiliana ili upate technical support kwa chuo unachokitaka
Mkuu.samahan..bado sijafanikisha .ktk code yangu kuna hii "$" ..ambayo nishangaika ktk laptop nyingi & watu wengi wamejaribu kunisaidia ila bado hatuyoni... ila baadhi wamejaribu kunambia ktk ile batani namba 4 kipo ya dollar ile ( yaani imastari moja kwa moja kuanzia juu hadi chini ) soo nikiweka hyo herufi. Inaandika " INVALID CONFIRMATION CODE" hasa saiv .yaani nimechoka mwili hadi akili .MSAADA PLEASE,KWA YEYOTE ANAWEZA KUNAMBIA KITU.
 
Screen shoot iyo symbol niione....
 
Screen shoot iyo symbol niione....
Na kama ni dollar sign basi wakati unafanya confirmation ukiifikia kamata shift kwenye pc yako na namba 4 kwa pamoja then endelea na zingine
 
Back
Top Bottom