"Ukifanyiwa uchawi huu, utaondoka kwenu na kwenda mahali utakapo pachagua wewe. Hutorudi tena nyumbani kwenu.Hutopakumbuka nyumbani kwenu ukiwa unaishi. Utakumbuka nyumbani kwenu siku utakayo kua kaburini..."
Jamaa vp isee sijaelewa hapo "utakumbukaje kwenu ukiwa kaburini"
We LIKUD si kila mtu analogwa kwa Sunka, huku uziguani washanitupia sana ulozi kama huo na ukadunda mpaka sahizi wamekuwa wapole.
So naimani huyo brother yako huko aliko pengine mambo yake yamemnyokea na ipo siku atarudi tu nyumbani.
Watu wa ukanda wa pwani especially hawa wazigua wapo too primitive. Mtoto akienda mbali kutafuta maisha wanamfanyia dawa arudi nyumbani. Huu ni upuuzi.
Ww kweli nyoko nyoko square wenzetu mafreemason wanatumia uchawi kujitajirisha ww unamfukuza nduguyo ww nyoko nyoko square.
Ayaaaaa hata mm nilikuwa na kaka wa baba mkubwa yeye pombe tuu na wanawake akirudi home ugomvi na jiran anampiga mwenye nyumba ya jirani ndo ilikuwa styme yake kwasababu alikuwa mbabe na akinywa ubabe unazidi alikuwa anachukiwa nakila mtu sasa basi kilichofanyika Baba ake akamfanyia mambo ya kichawi huko kwao leo hii huu mwaka wa tisa katulia na ameshaoa kawa mtu mwema kaacha pombe siku akikimbuka hata chupa mbili hamalizi anaacha.
Wewe nyoko sana yaaani nyoko square baada utafute suluhu unakimbia tatizo kwa kumfukuzisha nduguyo kwao alipozaliwa
Kwanza jitu lenyewe lichawi, tangu lini ukaona mchawi ana busara na hekima ?Kama una uwezo huo basi badala kufanya uchawi wa kumfukuza kwanin basi usingefanya uchawi wa kumbadilisha tabia awe mtu mzuri?
Hiv uchawi hauwezi kufanya kitu positive?
Umejuaje kama walikupiga sunkwa?
Kuna wafuasi wao ndo walikuja kuniletea habari kuwa mimi siwezekani kabisa. Naruhusu hata wewe unijaribu pengine tunguli yako ya moto!
Ila uwe makini sana nisije nikahamia nyumbani kwako na shemeji akawa halali yangu!!!!!
----- kweli wewe mie nilijua una akili kumbe akili yako ipo kwenye kijambio chako, mitusi ya nini kwa wenzio mjinga wewe ?Mkuundugu, wewe ni mkuumaalumu, kama hujafurahishwa na uzi huu,ungepita kimya. Nenda kachangie kwenye mada za kikuumaalumu,kwa sababu na wewe ni mkuumaalumu.
mkuu kiukweli wewe sio mstaarabu,Matusi yako wapi hapo?
Mkuundugu, wewe ni mkuumaalumu, kama hujafurahishwa na uzi huu,ungepita kimya. Nenda kachangie kwenye mada za kikuumaalumu,kwa sababu na wewe ni mkuumaalumu.
Mkuundugu, wewe ni mkuumaalumu, kama hujafurahishwa na uzi huu,ungepita kimya. Nenda kachangie kwenye mada za kikuumaalumu,kwa sababu na wewe ni mkuumaalumu.
demu huyo wewe...We jamaa kwa mathread ya kutisha huna mpinzani...
Buhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
walikudanganya
Nawafahamisha kuhusu njia nzuri na salama ya kudeal na mtu anayekuletea usumbufu katika maisha yako.Badala ya kumuua au kumfunga,we mpige sunkhwa tu.U know kuna wengine wanawaua kabisa!!!