Brother hakuna tiba bora kama kufunguka hukupa nafuu kubwa kiroho. Mapambano ni makubwa nimesimulia kisa kimoja tu na bado napambana!Ishike imani yako. Imani siyo comfort zone, ni vita kamili. Umejaribiwa kidogo tu unataka urudie zama?
Mkuu mshana unaona hii komenti naomba umroge huyu dada anipende afe aoze yani mroge arogeke mpk akiniona kila muda apate kimuhemuhe.Hivi vitu huwa unaongea siriazi kweli au changamsha genge tu?
The Monk wewe ni rafiki mwema.. Na leo umenifaa sana1 Kor 10:13
Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
Brother hakuna tiba bora kama kufunguka..hukupa nafuu kubwa kiroho... Mapambano ni makubwa nimesimulia kisa kimoja tu na bado napambana!