Condom za bei poa Vs Condom expensive

Condom za bei poa Vs Condom expensive

tehe tehe tehe uwii mbavu zangu jameni....kweli humu ndanifull comedy
 
Bado niko plan B, ningekuwa nimefika plan C kwenye ile ABC ningecomment samu singi hia
 
Bado niko plan B, ningekuwa nimefika plan C kwenye ile ABC ningecomment samu singi hia
always Plan B and C zinakwenda pamoja, Plan A and B pia zinakwenda pamoja, lakini Plan A and C haziwezi kwenda pamoja
 
duh hizo mi wala sizijui
vp mkuu huwa zinzkuwa na a/c?
Hapana mkuu hizi zikipasuka hua sina self defence yaani zinakuja kwenye pumbu zinakuachia sarakasi zako hadi umalize ndo unakutana nayo shinani sio zile nyengine mara manaulizana mbona siioni condom au tushaiacha ndani . haya mambo yanavituko vyake sema hua siri kama viungo vinavyovishwa
 
Mimi Nina allergy na condom. Na pia sifurahii game nikivaa. So mimejikuta nakuwa mpole na kutulia Njia kuu. Ikitomea ajali Njia kuu nikichepuka basi ni lazima kwanza kucheki "afya" kujua usalama kabla ya kuingiza gari barabara ya mchepuko

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom