TUPAC WA MWAKALELI
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 354
- 109
Wengi hukimbilia kondom za bei kubwa wakiamini kuwa ndio safe, lakini ukweli ni kwamba zile condom za bei poa zenye kusambazwa na serikali au mashirika ya kupambana na UKIMWI ndio condom imara na madhubuti.
Hazipasuki kirahisi, hata sisi wenye mikuno ya KIKURYA zinatusitiri sana na kutukinga kikamilifu.
Vile vi kondom vya bei mbaya vya kibitozi ukisukuma nyama kikuli lazima vichanike, havina uvumilivu hata kidogo.