S Shocker JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 2,175 Reaction score 4,180 May 23, 2025 #1 Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
la magica JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 2,249 Reaction score 3,629 May 23, 2025 #2 Kwani P2 siku hizi haziuzwi?
Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 4,730 Reaction score 15,773 May 23, 2025 #3 Toto ulileavyo ndivyo likuavyo
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 19,002 Reaction score 38,710 May 23, 2025 #4 Angalia usije tuzalishia LUCAS MWASHAMBWA MWINGINE ☺️ Wadau wameshauri utafute P2 Shocker said: na kaniambia yupo kwenye siku za atari ,yaani apa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauli wenu ni msaada unaoitajika . Click to expand...
Angalia usije tuzalishia LUCAS MWASHAMBWA MWINGINE ☺️ Wadau wameshauri utafute P2 Shocker said: na kaniambia yupo kwenye siku za atari ,yaani apa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauli wenu ni msaada unaoitajika . Click to expand...
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 59,491 Reaction score 96,711 May 23, 2025 #5 Usije kusema ni mtego CHADEMA tu
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,977 May 23, 2025 #6 Shocker said: na kaniambia yupo kwenye siku za atari ,yaani apa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauli wenu ni msaada unaoitajika . Click to expand... Kwani ulikojoa? Maana kama INEPASUKA na hukukojoa wala haina shida kuhusu mimba, labda uhofie ngwengwe..!!
Shocker said: na kaniambia yupo kwenye siku za atari ,yaani apa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauli wenu ni msaada unaoitajika . Click to expand... Kwani ulikojoa? Maana kama INEPASUKA na hukukojoa wala haina shida kuhusu mimba, labda uhofie ngwengwe..!!
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 59,491 Reaction score 96,711 May 23, 2025 #7 Ngalikihinja said: Kwani ulikojoa? Maana kama INEPASUKA na hukukojoa wala haina shida kuhusu mimba, labda uhofie ngwengwe..!! Click to expand... Sema kumwaga shahawa au kupiga bao.
Ngalikihinja said: Kwani ulikojoa? Maana kama INEPASUKA na hukukojoa wala haina shida kuhusu mimba, labda uhofie ngwengwe..!! Click to expand... Sema kumwaga shahawa au kupiga bao.
VANDYBLEAZE Member Joined Dec 28, 2024 Posts 10 Reaction score 18 May 23, 2025 #8 Shocker said: Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika. Click to expand... Asubuhi hii upo kwenye uzinzi,Mungu Atusamehe zambi zetu
Shocker said: Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika. Click to expand... Asubuhi hii upo kwenye uzinzi,Mungu Atusamehe zambi zetu
Supercomputer JF-Expert Member Joined Feb 13, 2021 Posts 673 Reaction score 1,440 May 23, 2025 #9 Utavuna ulichopanda
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,571 Reaction score 88,874 May 23, 2025 #10 Shocker said: Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika. Click to expand... Wee unawezaje kugegeda na condom....sii bora tuu upige nyeto na mlenda vuguvugu
Shocker said: Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika. Click to expand... Wee unawezaje kugegeda na condom....sii bora tuu upige nyeto na mlenda vuguvugu
Atalanta Member Joined May 25, 2022 Posts 79 Reaction score 259 May 23, 2025 #11 la magica said: Kwani P2 siku hizi haziuzwi? Click to expand... Hizi kitu zimefanya niitwe Baba saizi, ilibidi nikubali matokeo tu
la magica said: Kwani P2 siku hizi haziuzwi? Click to expand... Hizi kitu zimefanya niitwe Baba saizi, ilibidi nikubali matokeo tu
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,845 Reaction score 7,596 May 23, 2025 #12 Watoto ni baraka btw!!!
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 9,906 Reaction score 13,304 May 23, 2025 #13 Atalanta said: Hizi kitu zimefanya niitwe Baba saizi, ilibidi nikubali matokeo tu Click to expand... Kivipi?kwamba hazifanyi kazi?
Atalanta said: Hizi kitu zimefanya niitwe Baba saizi, ilibidi nikubali matokeo tu Click to expand... Kivipi?kwamba hazifanyi kazi?
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,642 Reaction score 8,445 May 23, 2025 #14 Baba kija za asubuh
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,971 Reaction score 35,344 May 23, 2025 #15 Atalanta said: Hizi kitu zimefanya niitwe Baba saizi, ilibidi nikubali matokeo tu Click to expand... Atakua alikosea mahesabu. Wengi huwa wanakunywa tu hata hawajui zinafanyaje kazi.
Atalanta said: Hizi kitu zimefanya niitwe Baba saizi, ilibidi nikubali matokeo tu Click to expand... Atakua alikosea mahesabu. Wengi huwa wanakunywa tu hata hawajui zinafanyaje kazi.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 50,961 Reaction score 92,359 May 23, 2025 #16 Dr am 4 real PhD said: Angalia usije tuzalishia LUCAS MWASHAMBWA MWINGINE ☺️ Wadau wameshauri utafute P2 Click to expand... Yule jamaa ni zezeta.
Dr am 4 real PhD said: Angalia usije tuzalishia LUCAS MWASHAMBWA MWINGINE ☺️ Wadau wameshauri utafute P2 Click to expand... Yule jamaa ni zezeta.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 50,961 Reaction score 92,359 May 23, 2025 #17 nakwede97 said: Baba kija za asubuh Click to expand... Anaogopa kuitwa hivyo.
Atalanta Member Joined May 25, 2022 Posts 79 Reaction score 259 May 23, 2025 #18 mbu wa dengue said: Kivipi?kwamba hazifanyi kazi? Click to expand... Nasikia wanasema siyo kila muda zinafanya kazi. Jaribu kufatilia
mbu wa dengue said: Kivipi?kwamba hazifanyi kazi? Click to expand... Nasikia wanasema siyo kila muda zinafanya kazi. Jaribu kufatilia
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 15,211 Reaction score 21,635 May 23, 2025 #19 Shocker said: Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika. Click to expand... Kufanya ngono huwa ni kwa ajili ya starehe na uzazi tu na kwa wanajeshi ni silaha ya kumdhalilisha adui. Kwani umemlala ndugu yako au ni mwanafunzi kiasi cha kupanick kwamba utabumburuka?
Shocker said: Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika. Click to expand... Kufanya ngono huwa ni kwa ajili ya starehe na uzazi tu na kwa wanajeshi ni silaha ya kumdhalilisha adui. Kwani umemlala ndugu yako au ni mwanafunzi kiasi cha kupanick kwamba utabumburuka?
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 36,085 Reaction score 47,668 May 23, 2025 #20 Pambana na hali yako.