God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,790
- 3,020
...
Inaelekea kutumia puto ni sawa na kuwa na kadi ya heshima ya Chaputa mkuu!!Mwanaume yoyote yule anayetumia Condoms huwa namdharau na namwona POPOMA / MPUMBAVU aliyetukuka kabisa.
Na ukimwi hupati? au hufanyyi kabisa ngono?Mwanaume yoyote yule anayetumia Condoms huwa namdharau na namwona POPOMA / MPUMBAVU aliyetukuka kabisa.
Ndo hivo mkuu mapito mengine tunapita kwa neema za Mungu tuu maana peke yetu hatutoweza.Dah kama kweli "ulimuombea aishi miaka mirefu" na haukumtenga basi nakupa
Na ukimwi hupati? au hufanyyi kabisa ngono?Situmiagi hayo makitu
Daa nikikumbuka maisha niliyopitia huwaga nasikitika na kujutia sana kwani bila hiki kitu cha ndomu sasa ningekua nimepumzika kwenye kijumba flani hivi cha kudumu.
Miaka mitatu iliyopita nilikua na manzi mitaa flani ivi huyo kwa kweli nilimtafuna sana.
Hakua msumbufu kama wanawake wengine ila hata pesa hakuwahi kuniomba zaid ya vizawadi vidogo.
Alinipenda kweli na siku ya kwanza tunaigiza hii michezo ya kibaba baba na kimama mama alinisihi condom mimi kama kawaida nikatii agizo lake na huo ndo ukawa uhalisia wa mapenzi yetu.
Ule mtaa kuna mdau tulikua tunafahamiana sana akaniambia flani ni mwaathirika wa kama miaka miwili hivi na zaidi! Daa kapresha kalipanda nikatami nijeuke moto wa petrol ila sikuweza nilishtuka sio mchezo. Sasa mdau alikua akifahamu mahusian yetu japo yalikua sio famous. Ilinibid nimuage ili nikapate kutafakari zaid.
Mda ulipita usiku ukaingia Ssiku ikafuata mnyama nikaenda kupima mda wa saa nne dispensary ya karib.
Daa niliwahi kuchecheme ila sio kivile kwa kweli hatimaye MAJIBUyakatoka na nilikua SALAMA.
Nawaambieni wakuu kuanzia hapo nilienda kusali sala nzito nikawa najisemea ivu Mungu kwanini umenipendelea hivi! Daa acheni tuu, basi nikashukuru nikasonga na yule mwanamke sikua hata na cha kumpa zaid ya kumuombea maisha marefu na barake tele kwa Mungu kwa wema alionifanyia kwani vinginevyo huu uzi usingekaa uonekane hapa JF now. Ni miongoni mwa zawadi nazozikumbuka maishani hasa aliposema "Uje na kinga".
USHAURI: Kwa kua ni dhahiri hakuna uaminifu kwenye mahusiano ya MAPENZI basi tumieni CONDOM kwani inasaidia na inaokoa maisha IKITUMIKA VIZURI.
Na nini WANAWAKE kuweni na roho nzuri saidieni na kuokoa maisha ya wengine kama huyo mwenzenu alivyonisaidia.
Na WANAUME pia jalini akina dada acheni rafu za kijinga. Hawa WANAWAKE nao wanaupatia kwetu WANAUME hivyo busara ni jambo jema zaidi.
Si ndiyo maana upo kwenye dozi avatar yako imejibu kila kitu ila ukome kutufundisha na sisi ujingaMwanaume yoyote yule anayetumia Condoms huwa namdharau na namwona POPOMA / MPUMBAVU aliyetukuka kabisa.
Daa nikikumbuka maisha niliyopitia huwaga nasikitika na kujutia sana kwani bila hiki kitu cha ndomu sasa ningekua nimepumzika kwenye kijumba flani hivi cha kudumu.
Miaka mitatu iliyopita nilikua na manzi mitaa flani ivi huyo kwa kweli nilimtafuna sana.
Hakua msumbufu kama wanawake wengine ila hata pesa hakuwahi kuniomba zaid ya vizawadi vidogo.
Alinipenda kweli na siku ya kwanza tunaigiza hii michezo ya kibaba baba na kimama mama alinisihi condom mimi kama kawaida nikatii agizo lake na huo ndo ukawa uhalisia wa mapenzi yetu.
Ule mtaa kuna mdau tulikua tunafahamiana sana akaniambia flani ni mwaathirika wa kama miaka miwili hivi na zaidi! Daa kapresha kalipanda nikatami nijeuke moto wa petrol ila sikuweza nilishtuka sio mchezo. Sasa mdau alikua akifahamu mahusian yetu japo yalikua sio famous. Ilinibid nimuage ili nikapate kutafakari zaid.
Mda ulipita usiku ukaingia Ssiku ikafuata mnyama nikaenda kupima mda wa saa nne dispensary ya karib.
Daa niliwahi kuchecheme ila sio kivile kwa kweli hatimaye MAJIBUyakatoka na nilikua SALAMA.
Nawaambieni wakuu kuanzia hapo nilienda kusali sala nzito nikawa najisemea ivu Mungu kwanini umenipendelea hivi! Daa acheni tuu, basi nikashukuru nikasonga na yule mwanamke sikua hata na cha kumpa zaid ya kumuombea maisha marefu na barake tele kwa Mungu kwa wema alionifanyia kwani vinginevyo huu uzi usingekaa uonekane hapa JF now. Ni miongoni mwa zawadi nazozikumbuka maishani hasa aliposema "Uje na kinga".
USHAURI: Kwa kua ni dhahiri hakuna uaminifu kwenye mahusiano ya MAPENZI basi tumieni CONDOM kwani inasaidia na inaokoa maisha IKITUMIKA VIZURI.
Na nini WANAWAKE kuweni na roho nzuri saidieni na kuokoa maisha ya wengine kama huyo mwenzenu alivyonisaidia.
Na WANAUME pia jalini akina dada acheni rafu za kijinga. Hawa WANAWAKE nao wanaupatia kwetu WANAUME hivyo busara ni jambo jema zaidi.
Nachukia sana watu wanaopotosha watu humu ndani ila after all kila mtu atalipwa kila anachostahili hii dunia. Kuna mtu anaitwa deception nae anapinga kinoma kuhusu ngoma na anakuja na hoja nzito sasa wengine wamemwelewa huyo ndugu mwisho wa siku.....Si ndiyo maana upo kwenye dozi avatar yako imejibu kila kitu ila ukome kutufundisha na sisi ujinga
Na ukimwi hupati? au hufanyyi kabisa ngono?