Konnie !
Sijakutia mbonini kitambo ujue?
Hebu tafuta chimbo nikunong'oneze. Ukizarau badae lawama staki .
Hebu niume sikio?
Nakusikiliza
Alikuwa bize kumpokea mwenyekiti jana mnazi mmoja,bahati mbaya sijui kukopi na kupesti ningekuonyesha picha yake imetoka frontpage 'uhuru'.