Condoleezza Rice: Kim Jong Un is pretty clever

Huyu si ndiyo alimpiga mkwara waziri mkuu wa Paksitan Musharaff Wakati Wa Maandalizi Ya Kuivamia Afghanistan Akaambiwa Achague Kuwa Upande Wa Usa Au Adui Pakistan Akanywea
Pakistan wamepga hela ndefu sana kupitia wataliban..mpaka trump aliposhtuka juzi
 
Mkuu heshima kwako aisee
 
Duh, Kweli dunia yabadilika sana. Inaonekana Japani alikuwa mbabe mno zamani, alizitawala Korea zote 2 na China yao, lakini leo amekuwa wa kupitishiwa makombora juu ya kichwa chake na Kim!
 
Duh, Kweli dunia yabadilika sana. Inaonekana Japani alikuwa mbabe mno zamani, alizitawala Korea zote 2 na China yao, lakini leo amekuwa wa kupitishiwa makombora juu ya kichwa chake na Kim!
Japani walikuwa makatili vilevile na waliipiga urusi 1905 lkn si unajua makubaliano waliingia baada ya WWII kwenye mambo ya kijeshi?
 
Duh, Kweli dunia yabadilika sana. Inaonekana Japani alikuwa mbabe mno zamani, alizitawala Korea zote 2 na China yao, lakini leo amekuwa wa kupitishiwa makombora juu ya kichwa chake na Kim!
Nikikumbuka KAMIKAZE STYLE hua nawakubali sana waJapan.
 
Yule mama mrembo ndio kachoka hivyo. Kweli kuna vitu vichache huwezi kushindana navyo wakati ni mojawapo. Samahani kwa kuwa nje ya mada.

Kama kweli ulikuwa unamuona Condoleezza mrembo siku za nyuma basi unahitaji miwani.
 
Duh, Kweli dunia yabadilika sana. Inaonekana Japani alikuwa mbabe mno zamani, alizitawala Korea zote 2 na China yao, lakini leo amekuwa wa kupitishiwa makombora juu ya kichwa chake na Kim!
Mambo yanabadilika sana mkuu.
 
Siku akiolewa ndo atarudi kwenye form mkuu!

Mimi msimamo wangu ni sawa na ule wa "BOB Marley" kwamba hakunaga mwanamke mbaya.
Tena hawa weusi ndiyo wazuri wacha kabisa; mbali na sura mwanamke ana vitu hatari ambavyo mimi huwa naangalia.
 
lakini ujumbe umefika si ndio. Kwanza unauwakika gani mm mtanzania au laa? As long as message sent and delivered thats what matters, grammatical errors potezea
wewe nae kaa kimya bana umekosea kuandika ngeli unaanza leta ngonjera za sio mbongo!..
Hebu rudi kwenye mada kama huna point tulia tusome watu wenye mantiki!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…