Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,692
- 26,584
Mkuu Consigliere unakumbuka ule uzi wako kuhusu Korea Kaskazini ?
Uchina , Korea Kaskazini na Urusi wanataka wawaweke Korea Kusini na Marekani kwenye kikaango,
Huku akijua kabisa Marekani atafanya kila namna kujaribu kufanyia figisu Korea Kaskazini tena, hapo atapata kisingizio kwamba yeye alikubali mazungumzo na pila alikubali kwenye kwenye michezo ya Olympiki: Ana nia njema kabisa ya kumaliza huu mgogoro lakini Marekani hataki. Hii lazima itazua taharuki kwa wananchi kwa Korea Kusini kwasababu Marekani ataoneka dhahiri kabisa kwamba hataki suluhisho na anahatarisha maisha yao.
Huu mchezo wa Divide et Impera (Iron Wedge Diplomacy) ameitumia sana Urusi Barani Ulaya,
Kawafanyia Vurugu kule Ukraine na kajibebea Crimea lakini kwenye Minsk Agreement akaenda vizuri tu huku akisema yeye Wayukreini ni ndugu (Brethren) hivyo anapenda wakae chini wayamalize. Hapa Marekani alitengwa kabisa wakenda Maraisi wa Ufaransa, Belarus, Ukraine na Ujerumani. Mwisho wa siku Marekani juzi amekubali kuuizia silaha nzito (Lethal Weapons) nchi ya Ukraine kinyume kabisa na makubaliano ya Minsk na leo hii Marekani anaonekana Mkorofi mbela ya Jumuiya ya Kimataifa. (Very Clever Move; Exceptionally Clever)
Leo hii Bunge la Ulaya wanasema Marekani anahatarisha Usalama wa Ulaya kwa kumchokoza Urusi,
Marekani haaminiki sana Ulaya kama ilivyokuwa zamani na anaendelea kutengwa kila siku,
Nigel Farage juzi akasema ndani ya Bunge la Ulaya kwamba "When you poke the Russian Bear expect the reaction"
Sasa Korea Kaskazini kaiga huo mchezo,
Lakini mimi nagopa sana kwasababu tofauti kabisa na nchi ya Ukraine Marekani ana maslahi makubwa sana pale,
Ndiyo maana nikasema hayo mazungumzo yatamalizika vizuri endapo wahusika wakubwa (Uchina, Japan, Urusi na Marekani) Mbali na Korea zote kuhusishwa. Ufaransa, Ujerumani na Belarus walihusishwa kwenye Minsk Accord kwasababu wao wana maslahi ya moja kwa moja nchini Ukraine tofauti na Marekani.
NB: Korea Kusini na Japan ni masoko makubwa sana ya kibiashara ya Marekani pia ni eneo la kimkakati kwa Marekani kulinda The Western Hemisphere: Vivyo hivyo Uchina na Urusi wana maslahi ya moja kwa moja nchini Korea Kaskazini ndiyo maana nasema ili kuwe na amani pale kwenye Korean Peninsula ni lazima kuwe na Bilateral Agreement ambayo itahusisha minimum support or supervision kutoka nchi nyingine husika....
Urais wa USA siku hizi umekua kwa watu shitholes/assholes kama "Trump"Kwangu Condoleezza Rice alikuwa mmoja wa the best Secretary of state kwa USA.Sijajua kwanini hajawahi fikiria kugombea urais wa Marekani
😱😳Andika kiswahili bana. Acha kujiaibisha
ungly maana yake ni nini?
Mkuu Malcom Lumumba ndiyo maana mimi siku zote nimekuwa nikiamini kwamba South and North Korea ni projects zikizisukwa kimkakati. They agreed/decided to divide in order to advance and contain.
Haya mataifa yenye umri mkubwa (1000+ years) huwa wana akili zilizo beba maono ya mbali sana. Na mikakati yao ni kuvivusha na kuvijenga vizazi vyao siyo class fulani. Hivyo mataifa kama China, Kirea kusini na Kaskazini wanaweza kufanya lolote kwa ajili ya vizazi vyao.
Kuna series niliwahi pata kuiangalia kuna kakipande kadogo mno kwenye moja ya Episode kanaonyesha namna usiri mkuu uliopo baina ya mataifa haya ukikaangalia kwa akili nzuri utaina kuna mikakati ilishatengenezwa kabla hata hawajafarakana ni namna gani watakuja kuungana huko mbele. Na kuna watu wanahakikisha mgogoro unakua mkubwa kwa gharama yoyote ile lakini hii yote ni mbinu tu.
Korea Kaskazini ni mbeba msalaba lakini lastly hawa kuna kitu wanamchota mzungu.
Nadhani wewe bado sana. Hujui hata kiswahili
Badala ya kuandika neno "ivoo" andika "hivyo"
Badala ya kuandika "sio" andika "siyo"
Elimu ya bure hiyo dogo.
SASA KATI YA MM NA WW NANI ANAWAZA NGONO, MAANA INAONESHA ICHO NDICHO KIPO AKILINI MWAKO NDO MAANA UMELIGUSIA. PIA HII PLATFORM NI HURU, ACHA WENGE!Shitholer unawaza sura badala ya point anazoongea.. watu weusi mnawazaga ngono tu.
Andika kiswahili bana. Acha kujiaibisha
ungly maana yake ni nini?
Kama hapa kwetu jinsi vichwa walivyokaa pemben..wanamchek tuu uncle padlockUrais wa USA siku hizi umekua kwa watu shitholes/assholes kama "Trump"
Vichwa wamekaa pembeni wanamcheki tu.
Madeline Albright ndio alikuwa the best sema alikuwa na Clinton ambaye alikuwa mpole.Kwangu Condoleezza Rice alikuwa mmoja wa the best Secretary of state kwa USA.Sijajua kwanini hajawahi fikiria kugombea urais wa Marekani
Hahah we jamaaKama hapa kwetu jinsi vichwa walivyokaa pemben..wanamchek tuu uncle padlock
Anhaa,Malcom Lumumba nakuelewa sana
Naona Geo poltics ndio nyumbani kwako mkuu.Uko vzr aisee.Anhaa,
Basi tumshukuru Bwana Yesu kwa kuniumba na kunifanya niwe hivi.....
Pamoja sana mkuu wangu.
Mkuu ahsante, bado najifunza!Naona Geo poltics ndio nyumbani kwako mkuu.Uko vzr aisee.
Pamoja mkuu.Mkuu ahsante, bado najifunza!
Yaa naye alikuwa vizuri sana, Condoleezza Rice amefanya kazi kwenye mazingira magumu sana kipindi cha vita ya Iraq baada ya Collin Powel kujiuzuru.Kipindi hiki dunia ilikuwa imegawanyika kutokana na uvamizi wa marekani nchini Iraq.Lakini huyu mama alijitahidi sana kufanya kazi yake, moja ya kazi zake za kukumbukwa ni ile ya kusuluhisha mgogoro wa Kenya, pia ni kuzuia jaribio la North korea ya baba yake Kim Jong Un kuunda silaha za NyukiliaMadeline Albright ndio alikuwa the best sema alikuwa na Clinton ambaye alikuwa mpole.
samahani ndugu nisahihishe...drone hazikufika kambiniMkuu Consigliere unakumbuka ule uzi wako kuhusu Korea Kaskazini ?
Uchina , Korea Kaskazini na Urusi wanataka wawaweke Korea Kusini na Marekani kwenye kikaango,
Huku akijua kabisa Marekani atafanya kila namna kujaribu kufanyia figisu Korea Kaskazini tena, hapo atapata kisingizio kwamba yeye alikubali mazungumzo na pila alikubali kwenye kwenye michezo ya Olympiki: Ana nia njema kabisa ya kumaliza huu mgogoro lakini Marekani hataki. Hii lazima itazua taharuki kwa wananchi kwa Korea Kusini kwasababu Marekani ataoneka dhahiri kabisa kwamba hataki suluhisho na anahatarisha maisha yao.
Huu mchezo wa Divide et Impera (Iron Wedge Diplomacy) ameitumia sana Urusi Barani Ulaya,
Kawafanyia Vurugu kule Ukraine na kajibebea Crimea lakini kwenye Minsk Agreement akaenda vizuri tu huku akisema yeye Wayukreini ni ndugu (Brethren) hivyo anapenda wakae chini wayamalize. Hapa Marekani alitengwa kabisa wakenda Maraisi wa Ufaransa, Belarus, Ukraine na Ujerumani. Mwisho wa siku Marekani juzi amekubali kuuizia silaha nzito (Lethal Weapons) nchi ya Ukraine kinyume kabisa na makubaliano ya Minsk na leo hii Marekani anaonekana Mkorofi mbela ya Jumuiya ya Kimataifa. (Very Clever Move; Exceptionally Clever)
Leo hii Bunge la Ulaya wanasema Marekani anahatarisha Usalama wa Ulaya kwa kumchokoza Urusi,
Marekani haaminiki sana Ulaya kama ilivyokuwa zamani na anaendelea kutengwa kila siku,
Nigel Farage juzi akasema ndani ya Bunge la Ulaya kwamba "When you poke the Russian Bear expect the reaction"
Sasa Korea Kaskazini kaiga huo mchezo,
Lakini mimi nagopa sana kwasababu tofauti kabisa na nchi ya Ukraine Marekani ana maslahi makubwa sana pale,
Ndiyo maana nikasema hayo mazungumzo yatamalizika vizuri endapo wahusika wakubwa (Uchina, Japan, Urusi na Marekani) Mbali na Korea zote kuhusishwa. Ufaransa, Ujerumani na Belarus walihusishwa kwenye Minsk Accord kwasababu wao wana maslahi ya moja kwa moja nchini Ukraine tofauti na Marekani.
NB: Korea Kusini na Japan ni masoko makubwa sana ya kibiashara ya Marekani pia ni eneo la kimkakati kwa Marekani kulinda The Western Hemisphere: Vivyo hivyo Uchina na Urusi wana maslahi ya moja kwa moja nchini Korea Kaskazini ndiyo maana nasema ili kuwe na amani pale kwenye Korean Peninsula ni lazima kuwe na Bilateral Agreement ambayo itahusisha minimum support or supervision kutoka nchi nyingine husika....
Marekani anapeleka Masilaha kule Ukraine kuwakomesha Ulaya na Urusi kwa kutotaka kumhusisha kwenye Mkataba wa Minsk anatuma ujumbe kwamba huwezi kupata suluhisho la amani bila yeye kuwepo.
Mfano mwingine hai kabisa,
Hata kule nchini Syria kama unakumbuka kwenye Astana Peace Talks walikaa Uturuki, Urusi na Iran halafu USA na Israel wakapigwa kapuni lakini mwisho wa siku umeona sasa Urusi na Syria wameshinda vita lakini Marekani na Isreal wamekataa kutoka nchini Syria na naskia wana mpango wa kukata kipande cha Syria na kutengeneza Kurdish State (Another USA client state in the middle east). Mpaka leo asubuhi nasikia U.S.A amepanga kutengeneza kikosi cha Wanajeshi 30000 wa Kikurdi ambao wengi wao ni wastaafu wa jeshi la Syria. Juzi wametuma drones zimelipua kambi ya Warusi, leo wanaweka wanajeshi kama 30000 kwenye mpaka wa Uturuki ambapo humo ndani kutakuwa na majamaa ya IDF, SIS, NAVY SEALS na Mercenaries wengine wenye silaha nzito.
Hivyo basi,
Tukiangalia haya mambo in a Realistic Point of view,
Huwezi kupata suluhisho la kisiasa la kudumu hapa duniani bila kuhusisha Urusi,USA na Uchina (Kwenye issue ya Korea) Hawa wawili ndiyo chanzo cha hii migogoro yote na vurugu zinazoendelea hapa duniani. Endapo utaweza kuwaweka hawa Simba Dume wawili kwenye zizi moja basi utaona amani ya kudumu nchini Korea na kwingineko duniani.
Kama CUBA mwaka 1962 na Ujerumani mwaka 1985 iliwezekana kwanini Korea 2018 Ishindikane kama wakiamua ???
Yaa naye alikuwa vizuri sana, Condoleezza Rice amefanya kazi kwenye mazingira magumu sana kipindi cha vita ya Iraq baada ya Collin Powel kujiuzuru.Kipindi hiki dunia ilikuwa imegawanyika kutokana na uvamizi wa marekani nchini Iraq.Lakini huyu mama alijitahidi sana kufanya kazi yake, moja ya kazi zake za kukumbukwa ni ile ya kusuluhisha mgogoro wa Kenya, pia ni kuzuia jaribio la North korea ya baba yake Kim Jong Un kuunda silaha za Nyukilia