COMORIENNE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2022 Posts 1,157 Reaction score 1,277 Feb 15, 2025 #1 Habari wakuu, ninauliza naweza pata wapi hizi concrete block moulds kwa hapa Tanzania? Ahsante, Natanguliza shukran. Attachments dc02fc4f752e043e45e8c115a8aa5f62.jpg 126.1 KB · Views: 34
Habari wakuu, ninauliza naweza pata wapi hizi concrete block moulds kwa hapa Tanzania? Ahsante, Natanguliza shukran.
H Hechy Essy JF-Expert Member Joined Mar 30, 2023 Posts 860 Reaction score 3,233 Aug 12, 2025 #2 COMORIENNE said: Habari wakuu, ninauliza naweza pata wapi hizi concrete block moulds kwa hapa Tanzania? Ahsante, Natanguliza shukran. Click to expand... Nenda K/koo Gerezani, ulizia wanapouza moulds za kutengenezea Paving blocks unaweza ukazipata huko huko. Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
COMORIENNE said: Habari wakuu, ninauliza naweza pata wapi hizi concrete block moulds kwa hapa Tanzania? Ahsante, Natanguliza shukran. Click to expand... Nenda K/koo Gerezani, ulizia wanapouza moulds za kutengenezea Paving blocks unaweza ukazipata huko huko. Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane