COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,157
- 1,263
Nenda K/koo Gerezani, ulizia wanapouza moulds za kutengenezea Paving blocks unaweza ukazipata huko huko.Habari wakuu, ninauliza naweza pata wapi hizi concrete block moulds kwa hapa Tanzania?
Ahsante, Natanguliza shukran.