Computerization and Centralization Mifumo ya Serikali.

Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
517
527
Wakuu, technology ndio kila kitu kwa sasa Pia kupitia Tech data collection na Management imekuwa Rahsi sana, Tunahitaji mifumo Sophisticated ya Kukusanya Data zote za Taasisi zinazofanana na Kuwa zu central Online ili Wenye access ya kuziona wazione kwa wepesi kuliko kusubiri pepa report ambazo kama zita andikwa kwa paper basi zinabaki for future reference, Leo tunahitaji mfumo wa Coordinate taasisi za Majeshi mfano Magereza, Army,Navy,Air, Fire, na wengineo basi Waziri husika pamoja na CDF apate update ya chochote anachotaka on real time pia hapo hapo Tunaweza link na mkuu wa nchi nae Anaweza view chochote, Ukija Bandari na TRA hawa wanahitaji connection na mifumo yao iwe computerized na kuwa Central ili Wahusika top officers kuanzia mawaziri mpaka wakurugenzi wapate update kwa muda sahihi, Changamoto ya Mifumo hii ni Security na Uhakika wa Power pamoja na Internet Hili litangaliwa kwa upana na kutaturika, Japo la security ni muendelezo na very sensitive,

Mifumo hii ni gharama ila kama Taifa tunaweza kuanza na maeneo sensitive Jeshi, Usalama, Bandari, Takukuru na TRA baadae tuta extend.
 
Prof Mbarawa yuko humu ? If yes atakusikia.waweza wasilisha mawazo yako ICT commission pale posta ya zamani
 
Back
Top Bottom