Mimi nimechoka kusoma Kiswahili kibaya kwenye mtandao. Binafsi nimetunga kamusi ya Istilahi ya Ngamizi. Haina ithibaki hata kidogo. Ni tunda tu la kazi yangu mwenyewe. Labda wapendao mambo ya kitarakirishi wataweza kuisahihisha au kuiongeza n.k. Anwani yangu:
klfmzungu@gmail.com. Wasiliane nami nikutumie nakala ya kamusi hiyo uisome na ...... tuone!
Kevin Foyle snr.