Computer yangu inagoma switch on Japo disc drives inakuwa imewaka shida hapa ni nini?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,648
20,987
Asalaam aleykum,

Computer yangu inagoma switch on Japo disc drives inakuwa imewaka shida hapa ni nini?

Hilo ndilo tatizo nililonalo wataalamu shida ni nini kwa Hill?
 
Mkuu eleza kwa urefu kidogo. Kuna watu wataalam kabisa wakionaga umeandika kwa ufupi namna hii, hata hawatoi mchango wao wala hawaulizi bali wanapita tu.

Eleza ni computer gani? Tatizo lilianza lini? Katika mazingira gani? Nk.
 
Aina ya FUJITSU tatizo limeanza ghafla ninapoweka ninapowasha taa ya switch on haiwaki ispikuwa kataa ka disc kanawaka na inafunguka na kufunga kwa button YAKE lakini komputer in general haiwaki.
 
Fungua kisha chomoa RAM, zisafishe zenyewe na slot zake kisha rudishia na uwashe tena.
Ikigoma kuwaka toa RAM moja moja na ujaribu kuwasha.

Ukiona imekubali kwa RAM moja basi ujue nyingine ni kimeo.
Mimi nilifanya hivyo natumia RAM moja kwa muda kabla sijanunua nyingine muda mfupi ujao.
 
Back
Top Bottom