U UNLOCK JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 268 Reaction score 37 Apr 21, 2014 #1 Naomba mawazo yenu wanajamii nimejaribu njia mbali mbali lakini bado haisomi ila flash inasoma kama kawaida.
Naomba mawazo yenu wanajamii nimejaribu njia mbali mbali lakini bado haisomi ila flash inasoma kama kawaida.
NAMKONG'O JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 519 Reaction score 133 Apr 21, 2014 #2 Ungetaja aina ya kompyuta,modem na mara ya kwanza unataka kuitumia humo au ilishatumika.Tuanzie hapo kwanza.
Ungetaja aina ya kompyuta,modem na mara ya kwanza unataka kuitumia humo au ilishatumika.Tuanzie hapo kwanza.
G gmabumbe JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 340 Reaction score 39 Apr 21, 2014 #3 Hiiyo PC ina Antivirus? sometimes virus wana block moderm. nichek kama upo Dsm 0716-844978