Matatizo hayo utawekaje window 7 wakati mala nyingi desktop zinatumia xp
sio tatizo sana nenda jf store ukadownload DRIVERPACK SOLUTION itakusaidia
mpaka namwambia hivo ilishawah ntokeadesktop mara nyingi zinatumia XP?? You didn't just say that!! Kwa mtoa mada, angalia kama kispika kwa chini karibu na saa pale kama kina alama nyekundu! Kama ndio inamaanisha vitu vitatu! 1. Sauti ipo muted, so toa mute.
2. Speaker zipo disabled, hapa nenda control panel on sounds una rightclick speaker icon na kui enable ila kama hio haiwezekani then ni issue ya 3.
3. Una missing drivers, just update em then itakua poa!