Computer technology and mobile phone solutios.

anafahamu Master Code ya simu yako ndio maana hata ukibadilisha security code bado anaweza kuifungua simu yako..ushauri, jaribu kuwa na simu yako muda wote.......
 
anafahamu Master Code ya simu yako ndio maana hata ukibadilisha security code bado anaweza kuifungua simu yako..ushauri, jaribu kuwa na simu yako muda wote.......
Sasa hiyo master code ya cmu yangu hii ni ipi?
 
Kuna tatizo linanisumbua kila nikifungua yahoo nakutaka kusign inn inaniambia error reporting. send error or not?? nifanyeje hata nikiclick send inajifunga sasa nimekolea kabisa!
 
Back
Top Bottom