Mimi ni kijana wa kiume niliyehitimu diploma ya IT mwaka jana (2013) katika chuo cha University of Dar es Salaam Computing Centre ( UCC) napenda kutumia fursa hii kuomba kwa mwenye kampuni, taasisi binafsi au serikalini, shule au NGO kuomba kazi/shuguli YAKUJITOLEA ili kuniweka busy na kuongeza ujuzi katika fani yangu kuliko kushinda nyumbani tu.