Computer yangu Dell6400 imezima screen baada ya kuhibernate haijawaka tena inaonyesha tu taa ya power on but screen hakuna kitu kinaonesha
So tatizo litakua ni nn?
Cheki RAM kama unazo zingine toa hizo zilizopo Ndani alafu weka zingine Test moja moja..ukifanya hivyo na bado tatizo lipo basi huenda ni graphics card ina hitaji remolding..so kama utaweza kuifanyia remolding itakuwa vzuri ikikushinda kma upo Dar nichek kwa 0658020361
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.