Computer Inasumbua

Computer Inasumbua

Kim Jong Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
11,557
Reaction score
21,508
Wadau computer yangu ni aina ya Dell ina RAM 4GB na Local disc space ni 300GB... Mpaka sasa nina documents za GB 1 tu!!!! ila kila program ninayotaka kuitumia computer inakuwa nzito sana..

Inachukua muda mrefu kuzimika na Muda mwingine inaandika "Program not responding" . Sijui tatizo ni nini, nimewahi kufuta kila kitu ila tatizo limebaki palepale , Please nahitaji msaada wenu.

Asante.
 
Mara ya mwisho kupiga window ilikuwa lini
 
Wadau computer yangu ni aina ya Dell ina RAM 4GB na Local disc space ni 300GB... Mpaka sasa nina documents za GB 1 tu!!!! ila kila program ninayotaka kuitumia computer inakuwa nzito sana..

Inachukua muda mrefu kuzimika na Muda mwingine inaandika "Program not responding" . Sijui tatizo ni nini, nimewahi kufuta kila kitu ila tatizo limebaki palepale , Please nahitaji msaada wenu.

Asante.
Unatumia windows gani na umeweka program za aina gani?

Ukifungua task manager sehemu ya processes sehemu gani kati ya cpu, memory, na disk ina asilimia zaidi ya 50 bila kufungua software , au baada ya kufungua software ipi ina asilimia zaidi ya 90?
 
Hata mm nina lap top del Ram 2gb IPO slow ssana mpaka naichukia
 
Nakushaur ubadilishe operating system iyo najua bila shaka na fen inazunguka sana
 
Iyo Pc inaonekana ni pc kubwa yenye uwezo wa hata kurun windows 10. na kama umeshajaribu kupiga windows mara kadhaa na bado tatizo lipo apo jaribu kutafuta
-Windows yenye latest build kama windows 10 build 16278
-nadhani ukitafuta hata windows 7 yenye latest build na ukiifanyia update pc itakaa sawa tu bila tatizo
 
ram si kitu kama processor ipo slow.

nenda my computer kisha right click kisha properties angalia aina ya hio processor.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom