computer inapogoma kufungua new account

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,371
mkuu hapa watu wengi tunatumia computer moja hivyo baadhi ya file zangu zinafutwa
nimejaribu kufungua new account lakini unaweza kuifungua na kuweka pasword lakini uki-restart na ukaingiza user name yako uliyo creaate pamoja na password inagoma kabisa.

ni DELL,Service park 3,inatumia Window xp,

na je kuna uwezekano wa kufungua computer iliyofungwa na adm bila kkuwa na password

naomba msaada
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom