COMPUTER IN INFORMATION TECHNOLOGY

COMPUTER IN INFORMATION TECHNOLOGY

fabivic

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
227
Reaction score
123
Nimechagua kozi ya information technology nipo chuoni tayari lakini nakutana na changamoto ya hesabu,hesabu ndio somo pekee lilikua likinitoa jasho o-level marks ya juu kabisa niliyowahi kupata maishani mwangu ktk somo hili ni D pindi nipo form 3,lakini bila kutegemea nimelikuta tena na chuoni,

Nifanye nn maana semester ya kwanza tu mtihani wa mathematics nimepata zero,na ICT naipenda sana
 
Ukipenda boga penda na UA lake... Lazima usome otherwise uta disco mapema sana.. Sketi zisikuchanganye focus on your studies and nothing will be hard.
 
Ivi ni chuo gani hicho kinachochukua IT na somo lisilokuw la kutumia Maths?Mi najua sharti la IT naMaths/It na Physics.In short IT ni kwa waliosomea EGM,PGM,PCM
 
Kwa O level DIT wanataka passes in maths English physics na chemistry. Hivyo maths ni lazima uwe unayo.
 
Vyuo takribani vyote kwa sasa wanachukua D 4 haijalishi ni masomo yapi mradi yasiwe ya dini tu
 
Hiko chuo kilichokuchua wakati una F ya math kimekosea mi nashukuru nimemaliza Diploma Comp science Math ipo kila semester nina B ,B+, A
 
Back
Top Bottom