cha kwanza ni kuhakikisha kwamba ni kuwa mashine inawaka kabisa na display ndo inasumbua. so, tafuteni monitor na muunganishe via vga, ikitoa display kwenye monitor ujue unahitaji kureplace display ya laptop, kama bado haitoi signal, tutaangalia tatizo lingine
leh