Computer engineering...!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Computer engineering...!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Freeman Patrick, Sep 4, 2012.

 1. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau habari zenu? Naomba kufahamu kuhusu computer engineering, inadeal na nini na soko la ajira hapa tanzania na east africa as a whole! Nakaribisha maoni yenu bila kusahau wale wa ropokaji. Thanks in advance!!!
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,488
  Trophy Points: 280
  Wanakuja vumilia...
   
 3. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha.. We vp tedo? Toa maoni Yako.
   
 4. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  CIT nzuri, ajira zipo kiasi. Piga msuli. Matokeo ya mwisho ni muhimu. Umechag ulwa wap dogo? Kama ud. Itabidi unibebe
   
 5. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha.. Sawa sawa mkuu, sasa naweza fanya kazi sehemu zipi? Na kazi yangu ni km ipi?
   
 6. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  unaweza fanya kazi kama consultants, ukawa unadesign network system ya majumba makubwa. unaweza ukawa IT wa makampuni mbali mbali ka tanesco, tbl, mgodini, maofisini. unaweza ukawa ajiriwa katika makampuni ya simu kumonitor system zao. yani madude ni mengi dogo
   
 7. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh, sawa mkubwa, ila nadhani itanibidi niwe deep mbayaa...
   
 8. SANGI B

  SANGI B Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dunia 2liyopo sasa hapo ndo mahala pake,komaa2 na hyo miaka yako 4.kaz badae:baby::baby:
   
 9. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanks mkubwa sangi B
   
 10. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ha ha wale wakubebwa
   
 11. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Above all unaweza kuwa fundi saa wa digitali...kwanini usisome civil au archtecture?
   
 12. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unaifahamu vizuri computer engineering? Au ni umeamua kuwaza ivyo?
   
 13. Matata Mushkeli

  Matata Mushkeli Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaeza pia ukawa mwalm wa kufundsha somo la computer.
   
 14. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ha ha ha... Kweli ww ni muskeli, na haujui chochote kuhusu computer engineering, nilifikiri huku ni great thinkers, kumbe hata **** thinkers mpo! Kweli kwenye mamba kenge pia hawakosekani.
   
 15. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Computer engineering,ukishasema engineering jiandae na designing za database,computer networks(Networking),Security,software engineering.Kama ni computer negineering and IT,hapa ujiandae kusoma course za telecom ingawa wengi huwa wanazikimbia.Ajira inategemea ukitoka chuo utakuwa na nini kichwani baada ya kusahau ulivyofundishwa,ila zipo nyingi ila mshahara inategemea na kampuni,ukifanya kwenye kampuni la telecom au ISP au linalohusika na IT utalipwa vizuri ila ukifanya kwa kampuni za kawaida ambazo core business yao si mambo ya IT ila IT inawasaidia kurahisisha kazi story itakuwa tofauti from one company to another.Unatakiwa uwe mtu ambaye unapenda kusoma,kujifunza vitu vipya,kama wewe ni mvivu wa kusoma opt kwingine coz technologia inabadilika dairly.
   
 16. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanks to u Aqua, u are the great thinker we need, honestly me ni mtu wa kujifunza every now and then... Hope itanifaa b'coz i love technology and i'll be committed to what i do!
   
 17. S

  Sine r Winters Senior Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Axante wadau kwa maoni yenu nimewapata fresh kuhuxu hii mambo cz hata mi ni mmoja wapo.
   
Loading...