Nafundisha course ya computer kwa kuwaandaa wanaotaka kujiajiri na kufungua secretarial/stationeries.
Sitoi cheti ila nakujaza uelewa wa hali ya juu wa matumizi ya computer.darasa lenyewe ni secretarial/stationery kwa hyo unakuwa unafanya mazoezi kwa vitendo.
Inafaa hata kwa vijana waliomaliza kidato cha 4 ambao bado wanatafakari muelekeo wao.
Napatikana dar es salaam makumbusho/kijitonyama-kwenye lami iitwayo akachube.
kituo kimeshatoa watu wengi ambao kwa sasa wamejiajiri kwa kufungua stationery zao na wengine kuajiriwa.
Wasiliana kwa email
geofrey.zenze@gmail.com au pm kwa ajili ya kupata namba au kufahamu zaidi.na kupata attachment ya mgawanyo wa programs na bei zake.
NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU.