Kama kuna kitu chochote umechomeka mfano flash disk au external kichomoe then i restart ikigoma bas nadhani shida itakuwa hard disk yako itakuwa na error au shida check kwenye bios kama inasoma
Hapo kuna mawili imetenguka haijakaa vizuri kwenye slot yake (hii si rahisi kuwa imetenguka coz imefungwa).
Au ndo imebuma jiandae kununua hard disk nyingine