Huenda mliyoyasema ni kweli, ila kwa uzoefu wangu antvirus ni useless, situmii antivirus sasa ni miaka 4 na nipo free. Kuhusu Advance System care ku edit regitry ni kweli kwani malware nyingi zina edit reg yako hivyo kufanya antvirus is wa detetct so ni muhimu kuwa na soft ya aina hiyo irestore reg yako to normal. Km ni mtu wa kuingia kwenye web za ajabu zikiwamo za ngono/ free games na mfano wa hizo basi ni vizuri ukawa nayo paid antvirus na sio hizi za cracked, km sio mtembezi wa hizo site no need 4 that. Elimu ni bahari tuendelee kuelimishana