Computer Antivirus

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
872
Reaction score
999
Habari...
Naomba kuuliza, hivi naweza kudownload Antivirus ya computer (for free) na ikafanya kazi effectively...?
 
Habari...
Naomba kuuliza, hivi naweza kudownload Antivirus ya computer (for free) na ikafanya kazi effectively...?
Zipo antivirus za bure ambazo ni kwa matumizi binafsi. Zinafanya kazi vizuri. Ila kama unataka professional features nenda kanunue licensed.

Ingia google search "Best free antivirus software" utazipata Avast /Avg free ( hizi utapata free ya kweli kabisa nani kampuni moja siku hizi)
Bitdefender, panda utazipata trial za mwezi mmoja, Avira pia wanayo free version ya kweli ila Avira ni nzito kuliko Avg na avast. Ushauri wangu kama ni kwa matumizi yako binafsi Download Avast free ni nzuri.
 
@ymollel ahsante sana chief, hii mashine nimenunua kwaajili ya biashara kwa maelezo yako itabidi ninunue tu nitapoanza biashara, lakini kama free ziko na zinafanya kazi nafikiri nishushe hiyo avast kwa matumiz yangu ya sasa kabla sijaanza hii biashara rasmi....
 
Hata kama inaenda kufanya biashara ya Internet Cafe, bado avast free itafaa sana hata kama computer ina specs ndogo. Na pia kama unahitaji kulipia unaweza kulipia hiyo hiyo free inakawa Pro. Ila kama kulipia online ni changamoto basi unaweza kununua kaspersky ndio iko mtaani kwa wingi.
 
Shukrani sana mkuu ymollel
 
ymollel pia naomba nikuulize mkuu, nina hard disk nimetoa katika laptop yangu ambayo inashida sasa nahitajikuaccess vitu viliomo katika hard disk hii ikiwa kama external HDD
 
Habari...
Naomba kuuliza, hivi naweza kudownload Antivirus ya computer (for free) na ikafanya kazi effectively...?
Tafuta hela kanunue anti virus. Otherwise tulia kama mimi. Nina miaka na miaka natumia computet bila antivirus na sijakumbana na chochote cha ajabu
 
Pia windows antivirus kama yuko windows 10 kwa matumizi binafsi inafamya kazi fresh kama ni windows za chini ms security essentials inafanya kazi vizuri pia. Cha msingi awe anaziupdate.
 
Antivirus hazina mpango, zitafanya pc yako iwe slow na maranyingi hazi detect wadudu. Weka malwarebytes au software za kuondoa malware, ni 3x more effective than antivirus. Ongezea na Advance System Care au software za ku care pc na utakuwa safe than those who use antivirus.
 
Hizo sasa ndio hazina mpango kabisa. Hiyo advanced system care sijui CC CLEANER inaongeza jam zisizo na mpango. Wanadanganya inarekebisha registry keys na kurepair system files. Security software/utility ni muhimu ikawa ina monitor usalama zaidi tu ya kuangalia malware.

Network traffic
Firewall
Identity privacy
Intrusion
Web na vingine vingi
 
Usloo nafikiri ni mashine yako hauiupdate.
 
Hapana, Kinachofanya Mashine Iwe Slow ni Requirements za Mashine Yako, kama Ina Specifications ndogo Basi itakusumbua, tu coz Anti virus kama Kaspersky au Avast zinahitaji Pc ambayo Ina vigezo vikubwa Coz Kila Sec Zina Run, sasa mtu ana Gb 2 Ram Processor 1.9 ghz Sijui Intel duo2[emoji1] Unategemea Kaspersky Ifanye kazi Fasta wakati Mashine Inajivuta vuta?? [emoji2913]
 
Been using Free antivirus for ages-online purchases,banking etc etc-so far no problem-i think the notion that free antivirus are not up to the task is a myth-a marketing ploy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…