Complication za Mgomo wa Madaktari

My God! yaani madiwani hawa hawa ambao wameishia darasa la 4 na la saba leo hii ndio wanawasimami mdaktari wenye degree zao? aisee siasa imeshaiharibu nchi vya kutosha.
Mmmmmm!!!!!!:A S-coffee:
 
mkuu huko mawilayani madaktari walioko ni waganga wakuu wa wilaya na M.Ds wachache na kuanzia mwanzo hawakuwepo kwenye mgomo kakini mambo yanvyozidi kwenda ndivyo wanavyopata hamasa.ishaurini serikali ifanye maamuzi sahihi na sio ubabe.mgomo baridi ni hatari zaidi.
 
Pinda ni wa kupigwa mawe hadi afe pamoja na JK wake. Kweli Jk anaona hali ni mbaya yy anaondoka kwenda kula bata nje.Serikali yetu ni dhaifu sana kwakweli
 
Back
Top Bottom