Complicated Facts kuhusu wanawake!

Complicated Facts kuhusu wanawake!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
image.jpg :heh:

Men almost always agree on what women are attractive, but women are inconsistent when rating male attractiveness.
.......
 
Mhhh umekuja tena..... ila nina kesi na wewe kwani umeninyima birthday, mimi na mnuso damu damu Boflo
 
Last edited by a moderator:
.....mhhh yani sina hata cha kusema hapo Boflo, yaaaani..........
by the side road hiyo mekap yako ni aina gani? mbona haitoki tangu siku zote hizo ulipoipaka!
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kuja kazini bila nguo, lakini kiukweli sina kabisa, nashangaa
 
Boflo umenikumbusha kawimbo tulikokuwa tunaimba enzi za utoto. " Wanawake wanapenda Mbo..mboga za majani, wanaume wanapenda Ku...Kumaliza shuleee.
 
Wadada wa jf nipeni jibu basi.. Kwa nini mko inconsistent??
mnakuwa na vigezo gani?? Au ndio mambo ya fweza
cc King'asti
 
Last edited by a moderator:
kweli, akina dada wa jf wafunguke siyo kukaa kimya huku watu wameuliza na wanataka wajue!
 
Back
Top Bottom