Uwizi na udokozi ni tabia tu, kama ingekuwa sababu kuu ni umaskini basi Tanzania karibu yote wangekuwa wezi tukichukulia idadi ya takwimu ya watu maskini.
Angekua wa kiume wangempiga balaaa.
Huii na matus juu. Mama alikua na hasiraaa yan yy anatafuta watu wanachukua tu kirahis. Aisee mabint sis Mungu atusaidie
Angekua wa kiume wangempiga balaaa.
Huii na matus juu. Mama alikua na hasiraaa yan yy anatafuta watu wanachukua tu kirahis. Aisee mabint sis Mungu atusaidie