Blessingme
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 250
- 52
hapo nimeelewaNi graduate wa muccobs
So what?? what is muccobs anyway? mi sikifahamu kabisa iki chuo
kizuri chajiuza...kibaya..
So what?? what is muccobs anyway? mi sikifahamu kabisa iki chuo
kizuri chajiuza...kibaya..
unajua historia za vyuo au umekariri majina tu, tafuta tu na uliza watu wakueleweshe vizur, scale ya mshahara haipangwi kwa majina ya vyuo bali elimu so kwa akilizako mtu wa udsm na wa udom o muccobs wanamshahara tofautiwhat next, Akiba wanataka cheap labour na wanaogopa wanafunzi wa udsm na mzumbe waliosoma accountsa coz wanasema hawadumu kazini, ni watu wa mishe mishe sana
Mijitu mingine bwana, kwa hiyo kama hukijui then whatt? Huo ndo u-Mr. Perfect. Mimi sisomi Ushirika, lakini trust me, ni moja ya vyuo bora hapa Tanganyika, alongside UD, SUA, MUHAS, Mzumbe, DIT n.k. Nyie ndo mnaopata shahada famba za Magharibi kwenye vyuo mshenzi. Behave yourself siku zingine..
Hello jf members! Ni matumaini yangu mko safi kabisa na mchakato wa katiba. Maana hili ni jambo zuri na la maendeleo kwa watanzania 2liokuwa 2naonewa sana kwa miaka mingi. Napenda kutoa rai kwamba 2silale hadi kieleweke, naona maji yamewazidi kimo: kwa leo ningependa kuwahamisha kidogo maana jana kuna m2 aliweka post yake kwamba kwanin akiba commercial bank wanawapenda sana muccobs graduate? 1) tanzania vyuo vilivyotangulia kuanzishwa ni udsm na mwaka 1984 sua, so naamini kwa wakati huo hadi sasa ubora wa vyuo hv uko juu achana na vyuo vya kisiasa. Thats y 2navikubari na 2taendelea kuvikubali 2) muccobs ni branch ya Sua na kwa hiyo every thing come from Sua, so in this case ukichanganya kwamba chuo hichi kilikuwa cooperative college tangu miaka ya 1960 so they know what organiztn needs , when they need, how to produce , etc, so in dis case help them 2 produce acceptable people. Hata ukiwachunguza hawa wa2 ni wachache na wana uwezo kama watu waliotoka sua. Nawakilisha
oko powah,Cha msingi vyuo wanafunzi wa vyuo hivi wawe tayari kushirikiana wanapokuwa makazini ili waweze kubadilishana ujuzi na kuleta tija kwa taifa letu na si kudhani sifa binafsi ndio lengo la vyuo hivi kwa taifa . nadhani kila chuo kina maeneo kinachokuwa bora basi wanachuo wake watumie nafasi hii kushare na wengine ili kuleta tija kwa taifa letu na kujenga uwajibikaji wa pamoja makazini na si kujiona wewe bora na kudhani unaweza kufanya kazi peke yako bila ya Umoja
Umesema umemaliza MUCCoBS ee?
jibu rahisi tu it is da matter of writting! Kwa nim pencil inatengenezwa na ufuto, kuna wakati utakosea utafuta, kweny account kuna topic inahusu correction of errors. Mkuu naona we ni mwalimu kama c mwalimu wewe