mzaziaged
Senior Member
- Oct 16, 2013
- 198
- 29
Habari wakuu, langu moja tuu kwa leo, mimi ni mfatiliaji mzuri sana wa post za mtoto wa mkuu wa dunia natasha wa obama huku kwenye mitandao ya kijamii, kumsingi haka katoto ka kike kako vizur kwenye hoja, logic na vinginevyo katika kupost hadi nashangaa, turudi upande wa pili kwa mkuu wa nchi wetu hapa bongo yaani huyu mtoto wake wa kiume mkubwa mwenye utajiri sana, yaani kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa post zake utaniunga mkono jinsi anavyotoa pumba kwenye post, mara ushabiki wa mpira, kuupiga vita upinzani, sio kweli kuwa pamoja na ka elimu kake aliko kapata pale mabibo hostel kuwa hajui maana ya upinzani anaboa sana sio siri