Compare and contrast: CCM vs CHADEMA


Nadhani tunaelewana ingawa tunaitazama CHADEMA kutokea angle tofauti.

Hatuwezi kuwa na vyama vya siasa ambavyo si vya wanasiasa, kwahiyo ccm na chadema ni wanasiasa lakini ni muhimu kuzingatia kwamba hawa ni wanasiasa wasiofanana kimtazamo na kiitikadi.

Off course kupambana na mafisadi lazima itakuwa ni top agenda ya chadema ikichukua madaraka ya hii nchi ili kurudisha nidhamu kwa viongozi wa umma waweze kujua kwamba wako kwa ajili ya maslahi ya wananchi wote na si kwa maslahi yao binafsi.

Mwananchi wa kawaida atanufaika kwa huduma bora zitakazotolewa na serikali yao; kuanzia huduma za afya, elimu, usafiri, haki, miundombinu na mengi mengineyo ambayo chini ya ccm na miaka 50 ya uhuru bado sehemu kubwa ya wananchi wanahangaika walau kupata mlo mmoja kwa siku na haki zao za kiraia zimewekwa rehani.
 
I wonder whether Slidingroof is really making a fair comparison between CCM and CHADEMA, when it comes to bunge perfomance. Anasema "bunge has lost its role as a chamber that can have significant effects upon legislation" I would ask Ms/Mr Slidingroof what party has caused all this, ccm or cdm? More than three quarter of the MPs is made up of those scums from ccm and these are the ones controlling and affecting the bunge perfomance. the picture of our Cabinet is reflected through them. I would not blame cdm for what is happening now in the house. Anyway chama chochote lazima kiongozwe na watu, whether they are originating from the same social or political background lakini dhamira yao kuhusu watu wanaotaka kuwaongoza is all what matters most. Kwangu naona dhamira ya ccm ni tofauti kabisa na ya cdm, na tukitaka kulijua hilo tuwape kwanza nafasi ya uongozi kama tulivyowapa ccm. Ukiwahukumu tu hivihivi huwatendei haki. (Almost every man can stand adversity, but if you want to test one's wisdom give him power)
 

Mwanakijiji thanks for the observation, please could you elaborate a bit on hao vijana??
 

Thanks mkuu kwa maelezo yako mazuri.

Hapo kwenye red; hiyo ndiyo silaha pekee waliyobakia nayo watu wa ccm kwa ajili ya kuwalaghai watanzania. Wamejaribu kutumia silaha nyingi walizokuwa nazo sasa zimekwisha na wamebakiwa na hiyo moja tu ya kuwatia uwoga wananchi.

Lakini kwa hali ilivyo, tunalazimika kuipigania chadema ili iwakomboe wananchi wa nchi hii toka kwenye makucha ya udhalimu wa ccm.
 
Magwanda and Magamba, the same enimies! Every who streches skin on drum, pulls the skin own his own side
 

Aaaaaa! In Tanzania there are many political parties apart from CDM and CCM, if you think and you believe that CDM and CCM can't make any difference why don't you try CUF, DP, UDP,TLP, NCCR-M, CCJ, and other rubbish political parties?. I said so, coz your argument totally based on the 2 parties while you remain silent on the rest.
 


Mfano mzuri wa hilo umeongea IMO ni Nape... A Great example of JK... Toka katika roots zake za kutaka kushiriki katika Uana Siasa akiwa na nia njema mno kwa Wananchi... full of dreams and ideologies... akiamini kabisa kua yuko Unique na kwamba anaweza rudisha CCM ile ya Original ya enzi za mwalimu... akisahau kua times zimechange.. na hio misingi Misingi yenyewe Mwalimu alitumia wakati ule kuweka chama na Taifa sawa (whether zili succeed au fail) zilifaa wakati ule na sio sasa... And as time goes by huyu ideal kijana anabadilika kimawazo/kimsimamo/ huku utendaji ukiwewa vile vile Great at an individual level but malengo ya kuleta End result.... questionable.... Sad.

Hawajatafakari kabisa kua suala sio kuvua Magamba.... bali kuvua hayo magamba na kutibiwa ... tena wakiwa bed rest na kuacha wenye afya (thou sio ya hakika but haijateteleka) waendeshe gurudumu...
 
Hii inanifanya nianze kuwafikiria UVCCM a bunch of young guys ambao wakipewa madaraka you can bet what will happen kila mmoja anatafuta namna ya kutoka
 
SlidingRoof

Before comparing and contrasting between CCM and CHADEMA i want you and other members who doesn't know you to read this passage from one of your previous threads.

Baada ya watu kukujua wewe ni nani na wewe kukumbusha uko upande gani naomba sasa nichangie kama ifuatavyo.

We all know that CCM is in a desperate situation therefore it is trying to safeguard its faces by anymeans, since they know for sure they are going to fall down sasa wanakuja na mbinu ya kujumuisha Chadema na wengine kuwa wote wameoza ili waanguke pamoja, mnataka kuwapumbaza wananchi kuwa kwa vile nyie mmeshindwa na CDM nao watashindwa. Quote "we were and still are being governed by the establishment, a network of people who knew each other(CCM&CHADEMA) and largely shared the same social background, education and values". end of your quote.

SlidingRoof nimeleta post yako ya zamani kwa makusudi kabisa kukuonyesha kuwa ile courage uliyokuwa nayo zamani kwamba you CCM can govern the country on your own imekwisha you need some other people (chama) to help. Zamani CCM ilikuwa inajivunia wananchi hasa wa vijijini lakini sasa hata hao wa vijijini wamepoteza imani na CCM nguvu iliyobaki ni bunge ambalo nalo mmehisi karibu litawashinda, na mtakaposhindwa kulidhibiti bunge na wabunge wa CCM ambao wameanza kugawanyika(ref Bajeti ya Nishati na Madini) the last standing resort yenu ni kutumia dola kuwatisha wapinzani na wananchi.
 


Tatizo mara nyingi uki observe sio Itikadi za Chama... Why lie... itikadi zoote mara nyingi hua na misingi na nia dhabiti BUT only on paper and file... IMO tatizo ni kutofuata zile itikadi zimewekwa ipasavo... na kunaweza kukawa tofauti ya jinsi gani kila Chama kitathamini na kufuata hizo itikadi (na ni zipi - maana in most cases zinafuatwa zenye faida kwa viongozi wenyewe); Na ninaposema kua Viongozi woote ni wana Siasa nina maana kua woote wanatumia Siasa kunufaisha personal interests...

Note that kuna tofauti ya Kiongozi ambae ni kiongozi na anafuata misingi ya Siasa ya nchi yake, na yule ambae anaivaa hio Siasa... i.e Nelson Mandela Vs other Typical African leaders...

Na hilo suala nilo blue highlight... Ndio wasi wasi wangu na woga wangu mkubwa huangukia hapo.... Watanzania wajue kua tuna hali MBAYA!!! Sio Mchezo... na wakumbuke kua chama kingine kikija (CDM with the highest probality) Sio kwamba ndio automatically every thing kitakua in order... Jiulize haya maswali...
  • Hali/Sector ya elimu ilivyo mbaya... ndio mashule kibao (in fact ni majengo) hakuna waalimu, hakuna libraries, hakuna labaratories, hakuna basic vifaa... Hizo ni shule za Tanzania nzima karibu zaidi 80% - nikilenga za Serkali... wakitaka waboreshe itachukua mda gani?? Mpaka wajadili issue muhimu ya walimu jinsi ya ku maintain ubora wao na umuhimu wao.... Hii sector hua inaniumaaaaaa kuliko zoooote!!
  • Hali/Sector ya afya... nikiambatanisha mahospitali, clinics, madaktari, and all its crucial related activities... na hii idadi ya waathirika inavyokua at an alarming rate... ni kiasi gani za pesa zinahitajika kuweka hii sawa?? Ni mda gani itachukua kuboresha?? Na je is there a gurantee kua itakua for the better??
  • Hii mikataba ambayo tayari ipo... ya kipuuzi ya Umeme for instance mpaka washikiliao all the reigns... You think it is that simple?? Hivi unajua kashi kashi na kijasho cha kuweza solve this issue once and for all?? kwa mda mfupi from all those holders to the so called symbion power??
  • Miundo mbinu hapa... hapa... sijui niseme nini?? Genuinely... Na from these points nam quote Mwalimu... Take note nilipo light..
"Freedom to many means immediate betterment, as if by magic.
Unless I can meet at least some of these aspirations, my support will wane
and my head will roll just as surely as the tickbird follows the rhino."


Maneno ambayo ni kweli kabisa but not an excuse enough kua kwa 50 years mambo yanakua mabaya zaidi... Hivo it is better niwe realistic na nijue kabisa kua we are doomed alafu niwe proved wrong... Kuliko eti nifagilie kua Maisha ya majority na taasisi/huduma mbali mbali zitaboreshwa alafu nije kua dissaapinted... thou I am not that pessimistc... Najua changes for the better zitakuja... but not too soon, for kuna hard work inatakiwa kufanywa from hard working people na hio hua proved by ACTIONS... Not words...

Kwa hio Mkuu hio blue ambayo you have so much confidence... beware.... Only time is the answer to that... thou other facts give us atleast assumptions....
 

Mkuu you have said it all,

Na ndio maana tunaona wanajaribu kutumia silaha ya kuwatisha wananchi kwamba chadema hawana kitu cha kufanya, yani wanalazimisha chadema ifanane nao wakati hivi ni vitu viwili tofauti.

Na slidingroof hawezi kurudi tena kwenye thread hii baada ya kumkumbusha upupu anaokesha kumwaga hapa.
 
Unalinganishaje usingizi na kifo? Kumbuka teke la ng'ombe anayechinjwa linaweza kukusababishia kifo.
 








it seem your trying to defend magamba by comparing with cdm but i know a drawn man can catch a straw!!! Over my dead body you will not win this battle...

Huwezi kulingani Chadema (chama cha ukombozi wa kweli) na Majuha

You must be dreaming or sleep typing!

Mabadiliko ya kweli nchi hii yatapatikana baada ya kulibadili BUNGE hili. Wabunge wa CHADEMA wanafanyakazi nzuri. Tuwaunge mkono. CCM imetusaidia sana kwa kuweka Spika wa kubumba.

If you can't stand the heat get out of the kitchen

And out of sight



To be honest our politicians think less about mtu wa kawaida. I prtly agree with Mwanakijiji, our new politicians are parasites, who enrich themselves constantly at the taxpayers' expense ( both of them wanted to score political points on POSHO). They routinely abuse power, lie and suppress and manipulate the truth. fUrthermore, they never admit error or failure, they always shuffle responsibility onto someone else. In daily life, unlike the old Establishment, they are graceless and self-obsessed and this imean all of them from opposition to the ruling party.

In sum, they have no standards whatever except their own personal advancement. Yet they are indignant when anyone exposes their behaviour and turn savagely on those who call them to account na ushahidi upo!

By contrast, although our politicians boasts constantly about their achievements its no doubt they have proved spectacularly incompetent in matters great and small. From CCM, apart from this EPA they have given us the UMEME debacle, TRL privatization and its endless botched reorganizations, a string of IT disasters....such as WEBSITE YA TAIFA, (and ID cards in waiting), fertilizer over payments, the prisons fiasco, inadequate and irresponsible armed forces leadership, housing and city planning that resemble wild wild west,, incoherent and failed policies on NISHATI na MADINI etc, ... Almost NOTHING these people touch works properly. They could not even replace the incompetent old guard.


The question is , how did so many corrupt, charmless and incompetent people get away with it? the answer is same as what Jenerali Ulimwengu asked back in 1992: MASWALI MAGUMU MAJIBU RAHISI....well, its simple, they suborned, subordinated and supplanted all the institutions you can think of which might otherwise have resisted them - often with the assistance of willing collaborators within. In particular, from my understanding, UTUMISHI are always humiliated repeatedly - their advice rejected and their normal command structures replaced by political appointees, expensive outside CON-sultants ( CROWN AGENTS from UK, etc).

These lot operate like the MAFIOSO of the GOMORRAH calibre. Both CHADEMA & CCM establishments have recruited large sections of the media to print or broadcast its propaganda as fact (JAMII FORUMS is also alleged to be involved in this conspiracy). That is what spin doctoring means and it requires willing collaborators in both print and electronic media. Some of the media have done even worse, and propagated deliberate lies or character assassination at the behest of these class. More and more of the media, and its members, are becoming indistinguishable from the CHADEMA/CCM political class. They routinely trade jobs and careers - I'm told politicians nowadays have become undercover paid columnists (Na "MWANDISHI WETU" ), journalists ( Betty Mkwasa et al ) join the government machine and give orders to civil servants (Pasco et al will soon follow)

Funny enough these lot gets angry with journalists only when they break ranks and refuse to play the game (KUBENEA knows best). In spite of their shrill complaints, both the Mkapa & JK governments had a remarkably easy ride from the media. Nearly all of their biggest decisions were endorsed and promoted by the media and their propaganda was rarely, if ever, dissected or challenged unless the rogue elements within the Jamii Forums and social media sites.

To be honest, I'm ready to admit I was naive at first when I thought the new CCM would be different from the old...and CHADEMA would be better...well one has criminals and another advocates mob justice. Both have failed us.
 

You have made my day na mchango wako, ukizingatia unatoka kwa mwanadada na inadiwa wadada hamfuatiliii siasa, wewe ni mwanamke mmoja na nusu wa ukweli au wanaume wawili wa kawaida.
 
You have made my day na mchango wako, ukizingatia unatoka kwa mwanadada na inadiwa wadada hamfuatiliii siasa, wewe ni mwanamke mmoja na nusu wa ukweli au wanaume wawili wa kawaida.


Bolivar... wanawake tunafuatilia... Sema tu hua hatutoi mawazo yetu,
kumbuka kua moja ya technique ya CCM ni kuwakamata wanamama
katika Siasa upande wa kupiga kura... hua wanajituma saaaana...
Na wanawalea saana UWT... Kwa kulenga hilo...

I am humbled by your acknowledgement...
 
No any comparison btn CCM & CHADEMA but the contrast is that CCM ni KICHUGUU na CHADEMA ni MLIMA KILIMANJARO!
 

Hapo nashindwa kufanya comparison hasa kwa nadharia ya waliotangulia, labda tu niseme ccm ni zaidi ya cdm kwa umri wake, na in fact ccm itaenziwa na cdm na vyama vingine kwa kuwafikisha hapo na wao wakaona kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko, pili cdm na wengine (opposition) wananafasi kubwa ya kuperform kutokana na umri wao (yaani nguvu), labda tu tatizo iwe uzoefu, lakini mpaka sasa cdm wapo kwenye chati, na ni wakati sasa kutotia maji kama ambavyo mgema akisifiwa. tunataka kuona kwa nafasi hii ndogo ya uwakilishi wanatoa demo kwenye maeneo yao na wananchi waone. siyo blabla kama tulizozoea. la sivyo itakuwa ngumu kuwatofautisha.
 

Nimeipenda sana hii kumbukumbu maana imefichua siri now the enemy is completely failed the only solution is to join us!but we are unable to accept the joint venture your failure has to remain and read as your failure and our (CDM) success has to remain and read success. No way! imekula kwenu hadanganyiki mtu hapa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…