Aisee shukraniWenye lugha yao wanaita Companion sio company kama ulivyoandika
hahahahahahah, jamani "umeshukurani" nini mpendwa wangu? hahhahaahahah
Kwa somo mpendwahahahahahahah, jamani "umeshukurani" nini mpendwa wangu? hahhahaahahah
mkuu tulia jamaa anataka demu anende nae Zanzibar kufungua kampuni siku ya pasaka.Wenye lugha yao wanaita Companion sio company kama ulivyoandika
🤣🤣🤣 peleka inbox hio shukrani pamoja na mawasiliano yako! Itapendeza
hahahahh, sawaaaaa ( kwa sauti ya huku kwetu usukumani)
Wala haina shida mimi na NAKWEDE hatudhuriani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] peleka inbox hio shukrani pamoja na mawasiliano yako! Itapendeza
hahahahah, mie nilielewa kuwa anataka rafiki au mtu wa kula naye sikukuuu. hahahaahmkuu tulia jamaa anataka demu anende nae Zanzibar kufungua kampuni siku ya pasaka.
Natumain tutapata ajira
Precisely
Basi imekaa powa sana hiyo!
🤣🤣🤣 kabisa, anaunga mkono juhudi za Mhe. raisiNaona unataka uzindue kiwanda.
Maendeleo hayana chama!
Tuko pamoja mkuuAsante kwa kunielimisha...
We hujapenda hiyo offer?Wenye lugha yao wanaita Companion sio company kama ulivyoandika
Nimeipenda na tayari nimeshaingia PM au inbox ya dogo kama alivyotoa maelekezo kwenye thread yake. hahahaha